Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Your smart Mkuu. Uandishi wa kisomi huu
Wapo ila ni wadwqnz sio wa kuwahofia km hauna kosa lolote...

Uwezo wao ni tofauti na ule uliousoma kwenye vitabu.


Ugumu wa kazi zao ni tofauti na ulizielekezwa kwenye vitabu...

Suala la usiri lipo ila sio kitaalamu ni vile tu kulingana na mazingira husika ya kazi yenyewe... Hawapo uniform km polisi au jeshi.

Ila wanasaidia ulinzi wa nchi kwa asilimia 45, na sio kwa uweledi wao, bali ni wingi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohohooo Kumbe umeweka Pembeni? Wengi wanaweka Pembeni ili wasisimamishwe na traffic kwa barabara maana trafiki akiona mbele peupe na yeye anaogopa kusimamisha isije kibarua kikaota nyasi....Ila za hao wajomba hakuna bandiko lolote kwenye vioo vyote.
Ongeza kidogo hapo huwa wanatembea kimakundi kwenye gari zao na huwa full tinted
 
Ongeza kidogo hapo huwa wanatembea kimakundi kwenye gari zao na huwa full tinted

Na wanaotembea na kaunda suti na peni mbili kwenye mifuko ya sebuleni?

PEN.jpg
 
Wapo wengi tu ila hawana hela hawana vifaa. Intel zao wakipata wanablackmail watu.

I'm kidding.
 
Back
Top Bottom