Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Habari wanabodi,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.

Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.

Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?

Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?

Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?

Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)

Umesahau ule mkono ulionipa wakati unanisalimia leo hii?
 
Wanavitambi flan hivi na miwani pia wanatumia tecno boom
 
Katika Watanzania 10,:-
2 ni kwa ajira.
3 ni kwa asili yao.
3 ni kwa nafasi za kazi zao.
2 ni raia wa kawaida.
Ingawa inatofautiana ni wakati gani,wapi na mahala gani.
mfano
Usiku....ni 5:2:2:1
Jioni/asubuhi....ni 1:2:2:5
Mitaani kwenye miji mikubwa ....4:1:3:2
Makazini.....ni 4:2:2:2
Usalama wa kila mtu ndio usalama wa nchi.
Pamoja na shida zetu tulizonazo sisi kama Taifa,lakini haimaanishi kiusalama tuko nyuma.
Kwa asili kila Mtanzania ni mlinzi wa Amani wa Mtanzania/mtu mwingine,ingawa kuna special task for special elites kutumika ipasavyo kuliko wengine ili tuendelee kuwa na usalama endelevu @24/7/365...$#
Wewe ndo umenichanganya kabisa na kufanya niamini huenda hii ni nadharia tu.
 
Habari wanabodi,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.

Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.

Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?

Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?

Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?

Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
Kama wewe ni mkazi wa mjini dar ukitaka kuwafahamu usalama wa TAIFA wee ishiii KINONDONI, SINZA NA KIJITONYAMA huku tupo nao wengi sana na tunawafahamu na wengine ni marafiki zetu....
 
Habari wanabodi,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.

Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.

Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?

Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?

Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?

Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
NGOJA TUKUTEKE, TUKUMINYE HIZO K.ENDE ZAKO NDIO UACHE KUTUFATILIA...kidding.
 
Wapo ila ni wadwqnz sio wa kuwahofia km hauna kosa lolote...

Uwezo wao ni tofauti na ule uliousoma kwenye vitabu.

Ugumu wa kazi zao ni tofauti na ulizielekezwa kwenye vitabu...

Suala la usiri lipo ila sio kitaalamu ni vile tu kulingana na mazingira husika ya kazi yenyewe... Hawapo uniform km polisi au jeshi.

Ila wanasaidia ulinzi wa nchi kwa asilimia 45, na sio kwa uweledi wao, bali ni wingi wao.
 
Au km vipi tafuta mtu akuunganishe na DC Lengai Ole Sabaya ni internal security officer.

Aah aah ah
 
Wengi wao ni service man or female lodge hizi mkuu jaribu kutembelea huko utawafahamu
 
Nenda kwenye bar za uswahilini,wakilewa huwa wanajitambulisha.
 
Ukiwajua ili iwaje? Wako kama ww hivyo hivyo, au kwa mawazo yako ulijua wana pua 2, macho 4, midomo 2, masikio 4, mikono 3, miguu 4, etc au ulijua sio binadamu wa kufanania ww? Sio kila kitu unauliza tu, vingine majibu unayo mwenyewe
 
Wapo Kila mahali anaweza kuwa mkeo/mumeo,padri/mchungaji wako sheikh,mwalimu,daktari,polisi,mwanajeshi,pccb,mtendaji kata,mpishi ,machingaa.kichaa,muuza machungwa na karanga,kiongozi wa upinzani,mvuvi,Teja, mhadhiri,mwanafunzi muokota makopo,mfanya usafi jalalani, mfanyakazi wa kujitolea ofisini kwenu, nk.
Cha msingi ishi kwa tahadhari hata wao wenyewe hawajuani zaidi ya MADSO ,RSO au wale wa Ikulu PSU."ULIPO WAPO"
 
Back
Top Bottom