Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Hata wapo wanaendelea ku comment kwenye uzi. Cha msingi watafute ili muonane personally
 
Umeuliza swali zuri mkuu na kwakuongeza Chuo Cha Usalama wa Taifa kiko wapi? Ada zake zikoje?
Hahhahaaaa Mkuu Vyuo vyao sivijui sidhani kama raia anaruhusiwa kusoma kwenye vyuo vyao nahisi wanasoma wao tu ambao washachaguliwa na wapo kwenye payroll ya TISS.

Ila Majengo yao yote nayajua ila sina uhakika kama ndani kuna vyuo,kwa mfano victoria pale kuna hospital,Malindi Mbweni kuna printing,eagle wing offices za high ranks,stesheni pale seniors.
 
Aisee, yangu haina bandiko lolote kioo cha mbele bali kwenye kioo cha pembeni, kwahyo mtoa mada ukiniona usin'nsimamishe, sihusiki.
Ohohooo Kumbe umeweka Pembeni? Wengi wanaweka Pembeni ili wasisimamishwe na traffic kwa barabara maana trafiki akiona mbele peupe na yeye anaogopa kusimamisha isije kibarua kikaota nyasi....Ila za hao wajomba hakuna bandiko lolote kwenye vioo vyote.
 
Mkuu mbona mimi nawafahamu sana ukitaka kujua rahisi sana kwanza maisha yao huwa hayajifichi kwann kwasababu utakuta wengine wanazurura na magari mjini ovyoovyo utajiuliza mafuta anatoa wapi ya kuchezea chezea
Wengine wanajifanya vichaa hasa kipindi cha uchaguzi wanafikiri sisi mafala hatujui watu na wenyeji wetu
Wengine wanajifanya watumishi au kondoo wa bwana
Wengine wanajifanya wauza karanga na kahawa
Wengine wanafunzi kabisa ili kuzuga usistuke wengine......................... .........
 
Umenena

Kuwamaki Hawa jamaa ni kama habits kama hizo mfano wanazurura na magari ovyo ovyo halafu wanafanya kazi hazieleweki kipato, mfano unakuta mtu kapanga chini anauza madaftari na peni Chuoni kama ajira yake
Mkuu mbona mimi nawafahamu sana ukitaka kujua rahisi sana kwanza maisha yao huwa hayajifichi kwann kwasababu utakuta wengine wanazurura na magari mjini ovyoovyo utajiuliza mafuta anatoa wapi ya kuchezea chezea
Wengine wanajifanya vichaa hasa kipindi cha uchaguzi wanafikiri sisi mafala hatujui watu na wenyeji wetu
Wengine wanajifanya watumishi au kondoo wa bwana
Wengine wanajifanya wauza karanga na kahawa
Wengine wanafunzi kabisa ili kuzuga usistuke wengine......................... .........
 
Habari wanabodi,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.

Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.

Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?

Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?

Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?

Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
Fatilia wabeba makopo wote na vichaa ndo hao.
 
Hahhahaaaa Mkuu Vyuo vyao sivijui sidhani kama raia anaruhusiwa kusoma kwenye vyuo vyao nahisi wanasoma wao tu ambao washachaguliwa na wapo kwenye payroll ya TISS.

Ila Majengo yao yote nayajua ila sina uhakika kama ndani kuna vyuo,kwa mfano victoria pale kuna hospital,Malindi Mbweni kuna printing,eagle wing offices za high ranks,stesheni pale seniors.
Mkuu eagle wing ndo lile jengo kama ndege? Zilipokua ofisi za dstv zamani?
 
Kuna maisha fulani nilipitia hayakunifanya nikutane nao kabisa, lakini kuna maisha fulani nilipitia yakanifanya nikutane nao. Ndiyo maana nikasema hawa jamaa kukutana nao inategemea na hali ya maisha uliyonayo kwa wakati fulani, hivyo wapo tu
Ahsante, wewe umewahi kukutana nao?
 
Back
Top Bottom