"Unanuka umasikini Fuu! Toka hapa"

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,884
"UNANUKA UMASIKINI FUU! TOKA HAPA!"

Anaandika, Robert Heriel

Wikiend hii nikasema niende kwenye Club za kishua Huko nikajipatie chombo mpya, pisi ya kishua. Nikasema hata Mimi Taikon ninastahili pisi Kali za kishua, msije mwambia Shemeji yenu wapi na nini nilienda fanya.

Nikajitazama kwenye kioo nikaona Sura haina ushirikiano wala haifuati silabasi, nikaona isiwe kesi kale kahela nilikopata juzi kwenye Beting nipunguze kidogo niende zangu Baribashopu, hiyo ndio ilikuwa mara ya Kwanza kuingia Barbashopu kufanya Scrubbing, lengo ni kuiseti Sura yangu angalau iwe kwenye Wikipedia ionekane ionekane hata wakiigoogle,

Likaja lidada limoja Hilo, mayaa wee! Jamani! Jamani lilikuwa limekaa kimitego Sana, Taikon Yuko na nidhamu lakini kamwe siwezi ishinda mitego ya Wanawake, akili ikasimama moyo ukawa mbiombio Kama mtu aliyezidishiwa chenchi, likanifanyia yote lililoona inafaa nikatoka sopusopu! Mengine sitaki Mimi kuyasema nisijeonekana sijalishwa Mila.

Nikavaa nguo zangu nzuri nilizoziaminia, nikaita Bolt huyo mpaka Club, nilifanya uchunguzi kuwa ni Club ipi hapa DAR nitapata watoto wa watu wafuatao;

1. Watoto wa walamba Asali ya nchi.
2. Watoto wa wenye vituo vya Mafuta.
3. Watoto wa wamiliki MAKAMPUNI ya mitandao ya simu.
4. Watoto wa Ma-IGP
5. Watoto wa Mabalozi
6. Watoto wa Wakaguzi wa Hesabu za serikali na Magavana wa Benji.
7. Niliambiwa pia wajukuu wa Marais wastaafu wanaingiaga huko.

Nikasema hii hela niliyopatia kwenye Bet Acha nikabetie huko kwenye Club. Nilitonywa kuwa siku ya jumamosi usiku kungekuwa na Night part kubwa katika club hiyo iliyopewa jina ambalo sitaliweka hapa hadharani. Nikaambiwa watoto wa vigogo karibia wote wangekuwa hapo.

Kama unavyojua kwenye msafara WA mamba kenge hawakosekani, nilijua kabisa kuwa huko kwenye Club nitakutana na wazamiaji Kama Mimi hivyo ilinipasa nijihadhari nisijejikuta mikononi mwa Makenge maji.

Nikaazima Gari moja Kwa Mzee mmoja jirani hapa ninapoishi, ni Harrier new model Nyeusi Tako la NYani. Nikasema hapa nimekamilika.

Saa tatu nikawasili Club hiyo ya kidosho, advataizi nikakaribishwa na magari ya kikubwa, wenye viharia tulikuwa wachache nijata kumjua aliyekuja na Ile Harrier Kama yangu, nikajua huyu lazima atakuwa mzamiaji njaa Kali Kama Mimi.

Nikajitambulisha Kama Mlamba Asali Wale walinzi waliponouliza, walipotaka kunisumbua nikawatishia Kwa kutoa lisimu la gharama na kubonyeza bonyeza kwenye contact likatoka jina kubwa la Kiongozi wa nchi hii ambalo nililisevu kimagendo nilijua Yale yangeweza kutokea, walivyosema jina la Mlamba asali wakaogopa nikazama ndani.
Taikon nilijipanga.

Sasa nilijiandaa kutafuta mnara wa kingereza maana nilijua mule ndani watoto wakali na pisi za vigogo wengi wamesomea nchi za nje hivyo kingereza kingekuwa Kwa Sana.

Ndani nikakutana na watoto wakali Sana, sasa nilikuwa nachagua ambaye Hana mwenza,
Muziki ulikuwa wakimataifa, mara chache Sana walipiga nyimbo za kibongo lakini za kizamani, Kwa kweli sikumsikia Diamond wala Alikiba mule ndani

Mitoto ya kiarabu na shombeshonbe Kali nikajua hapa kuna hela za Mihang na Lake Gas, nilipoona pisi za kibongo nikajua hawa ni walamba asali,

Kila watoto walikuwa na Code zao za mavazi Ila ingekupasa uwe Mjanja wa kuona.

Nikakaona Kasichana kazuri kakiwa kamekaa lenyewe na Cocktail, nikasema niende nikakasemeshe, kufika kumbe nako kalikuwa kananisomea Radar.
Nikakasalimia kakajibu Ila Kama kalikuwa kwenye Mingo zake alafu nikawa Kama nakaletea uzibe hivi.

Nikajaribu kukaletea mazoea lakini kalinitolea shit hiyo ati kakasema:!

" unanuka umasikini Fuu! Embu Toka hapa!"
Nikapaniki lakini nikawa najizuia, nikakaambia
" Wewe ndio umekuja na Harrier tuu hakuna mwingine"
Akanitazama akanipandisha na kunishusha akahama upande,
Nikaona isiwe kesi,

Nikasema, Wazamiaji njaa tumekutana" nikaendelea na mawindo ya kuwinda watoto wa walamba asali.

Asubuhi hii ndio nimetoka kituo cha polisi baada ya kuwekwa Lockup.

Jioni njema!
 
ungeeka kalkiti upake na karolait ungepata shombe limoja
 
Aaah mzee wa fasihi si ungewaambia unamiliki migodi ya tanzanite wakuelewe.
 
Hata nchi wanaopatikana majumbani Mwa walamba asali ni tofauti kabisa na wale wa kwetu kwa mtogole.
 
Kwamba watoto wa walamba asali😂😂😂
 
Chai
Mara uliagiza Bolt mara uliomba Harrier tako la nyani...mara lilkuja limama likaa kimitego mara uliona kabinti kazuri ukakasemesha.....we wa hovyo sana
 
Aaah mzee wa fasihi si ungewaambia unamiliki migodi ya tanzanite wakuelewe.
Unaweza kuona million kumi na pisi Kali unaweza kutoa papo kwa papo

Ujue pisi ikikuomba laki akajaze mafuta we mpe ,ukimpromise tu Mara ooh mpaka kesho ushashuka thamani

Hata Kama hiyo kesho utampa laki tano
 
Kama huna ni bora ukae mbali ujenge PR.
 
Back
Top Bottom