Sijasikitika, nimefurahi sana

Sijasikitika, nimefurahi sana

La Princesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
1,056
Reaction score
1,188
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu,ni kweli nimefurahi sana na wala sijasikitika hata kidogo

Iko hivi,ther is this guy,kwa nje he's very humble and smart but I don know what got in to him mpaka akawa na maamuzi ya kijinga,kipuuzi kipumbavu,I think hii inaitwa tugawane Maumivu

The guy bwana alikuwa na gf wake ambae wamekuwa kwenye relationship for seven deadly years,The gal gave everthing to the guy mpaka ikafikia hatua ya kuishi pamoja( ila walikuwa hawajafunga ndoa )

Wameishi four years at last the guy akapropose kuwa its better if watafunga ndoa,Bi dada si akakubali,shughuli ikaja kwenye aina yenyewe ya ndoa,dada mkristo,kaka muislam,hawakufika muafaka nani amfuate mwenzie,Kumbuka hapo washazaa kitoto chao cha kiume chenye miaka 3/4,Basi vuta nkuvute,vuta nkuvute,Ikashindikana,ikabidi the guy amwambie bi dada yeye amempata muislam mwenzie na anataka kumuoa

Basi dada wa watu akalia sana akimsihi mwanaume wafunge ndoa bomani lakini wapi ilishindikana,meanwhile dada alikuwa na mimba ya pili ya kama miezi 3 hivi,The guy ana pesa akamwambia bi dada ntakupa 30 percent ya assets zangu ili tu tuachane,mdada akakubali kwa kinyongo,akarudi kwao na mimba yake na mwanae,mkaja akafurahi akaanza kujiachia na bi dada mpya,bi dada full mashauzi sasa,Astaghafillulah,mipango ya ndoa ikaanza na huyo dada mpya,show offs to death....

Mungu bwana siyo Juma wazazi wa mwanaumw si wakaingilia,wakamwambia jamaa aakimuoa huyo mke mpya basi yeye awasahau wazazi wake,uwii si ikabidi mwezi kabla ya harusi bi harusi muingiliaji ataarifiwe kuhairishwa kwa ndoa na wa zamani ndo akaolewa na tumbo lake kubwaaa

LESSON: WAKAKA HAMPENDI SINGLE MOMS WHILE NYIE NDO MNAOWAACHA BILA SABABU WAKAOLEWE NA NANI WAKATI WAUME ZAO NI NYIE?

WADADA: KUINGILIA MAHUSIANO YA MWENZIO CYO KITU KIZURI,MAUMIVU ANAYOYAPATA UKIYAPATA WEWE HUTAWEZA KUYAVUMILIA
 
mweee!!! kwanza hiyo ndoa haitadumu, for it was coerced, alafu inaonyesha ujinga wa wanadada, kubeba mimba kabla ya kuolewa na pia kuhamia kwa mwanaume, cohabitation is a bad for marriage
 
haya chacha!!
alafu unakuta mtu anaingia kwa mbwembweeee nyingi na dharau as if huyo mwanaume kamuumba yeye na anajua fika mwenzie kaumizwa!
malipo ni hapahapa duniani Mungu wa sasa ni kijana yupo kazini.
 
Tunapoandika habari heading huwa ni mjumuisho wa habari nzima. Sasa heading yako [h=2]Sijasikitika,nimefurahi sana Inakinzana na conclusion ya habari yenyewe. [/h]Halafu La Princesa nakutafuta
 
Last edited by a moderator:
sitafanya upumbavu wa kuaamia kwa mwanaume kisa niolewe .. never on earth .. dead or alive .

ila pia wanaume unayempa mwanamke mimba alafu mnatusingizia tunapenda fashion ya single moms mkome
 
mweee!!! kwanza hiyo ndoa haitadumu, for it was coerced, alafu inaonyesha ujinga wa wanadada, kubeba mimba kabla ya kuolewa na pia kuhamia kwa mwanaume, cohabitation is a bad for marriage

Mkuu kwani ndoa ni nini?si kukubaaliana kuishi pamoja ama?kosa la mwanamke ni nini hapo?
 
.........
,kumbuka hapo washazaa kitoto chao cha kiume chenye miaka 3/4,............

Basi dada wa watu akalia sana akimsihi mwanaume wafunge ndoa bomani lakini wapi ilishindikana,meanwhile dada alikuwa na mimba ya pili ya kama miezi 3 hivi,

lesson: wakaka hampendi single moms while nyie ndo mnaowaacha bila sababu wakaolewe na nani wakati waume zao ni nyie?

....mtoto na mimba si ya huyohuyo kaka???...KWA NINI AMKATAE KWA KUWA SINGLE MOM???..MI Nadhani alimwacha kwa sababu nyingine na si ''usingle mom''
 
sitafanya upumbavu wa kuaamia kwa mwanaume kisa niolewe .. never on earth .. dead or alive .

ila pia wanaume unayempa mwanamke mimba alafu mnatusingizia tunapenda fashion ya single moms mkome

Even me never on earth nor in heaven
na wakome kweli
 
Back
Top Bottom