Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu,ni kweli nimefurahi sana na wala sijasikitika hata kidogo
Iko hivi,ther is this guy,kwa nje he's very humble and smart but I don know what got in to him mpaka akawa na maamuzi ya kijinga,kipuuzi kipumbavu,I think hii inaitwa tugawane Maumivu
The guy bwana alikuwa na gf wake ambae wamekuwa kwenye relationship for seven deadly years,The gal gave everthing to the guy mpaka ikafikia hatua ya kuishi pamoja( ila walikuwa hawajafunga ndoa )
Wameishi four years at last the guy akapropose kuwa its better if watafunga ndoa,Bi dada si akakubali,shughuli ikaja kwenye aina yenyewe ya ndoa,dada mkristo,kaka muislam,hawakufika muafaka nani amfuate mwenzie,Kumbuka hapo washazaa kitoto chao cha kiume chenye miaka 3/4,Basi vuta nkuvute,vuta nkuvute,Ikashindikana,ikabidi the guy amwambie bi dada yeye amempata muislam mwenzie na anataka kumuoa
Basi dada wa watu akalia sana akimsihi mwanaume wafunge ndoa bomani lakini wapi ilishindikana,meanwhile dada alikuwa na mimba ya pili ya kama miezi 3 hivi,The guy ana pesa akamwambia bi dada ntakupa 30 percent ya assets zangu ili tu tuachane,mdada akakubali kwa kinyongo,akarudi kwao na mimba yake na mwanae,mkaja akafurahi akaanza kujiachia na bi dada mpya,bi dada full mashauzi sasa,Astaghafillulah,mipango ya ndoa ikaanza na huyo dada mpya,show offs to death....
Mungu bwana siyo Juma wazazi wa mwanaumw si wakaingilia,wakamwambia jamaa aakimuoa huyo mke mpya basi yeye awasahau wazazi wake,uwii si ikabidi mwezi kabla ya harusi bi harusi muingiliaji ataarifiwe kuhairishwa kwa ndoa na wa zamani ndo akaolewa na tumbo lake kubwaaa
LESSON: WAKAKA HAMPENDI SINGLE MOMS WHILE NYIE NDO MNAOWAACHA BILA SABABU WAKAOLEWE NA NANI WAKATI WAUME ZAO NI NYIE?
WADADA: KUINGILIA MAHUSIANO YA MWENZIO CYO KITU KIZURI,MAUMIVU ANAYOYAPATA UKIYAPATA WEWE HUTAWEZA KUYAVUMILIA