La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,056
- 1,188
- Thread starter
- #21
....mtoto na mimba si ya huyohuyo kaka???
yes,mimba ya jamaa na mtoto ni wa jamaa,afu amuache,nan akamuoe mom wa watoto wawili?
....mtoto na mimba si ya huyohuyo kaka???
haya chacha!!
alafu unakuta mtu anaingia kwa mbwembweeee nyingi na dharau as if huyo mwanaume kamuumba yeye na anajua fika mwenzie kaumizwa!
malipo ni hapahapa duniani Mungu wa sasa ni kijana yupo kazini.
so wamefunga ndoa wapi sasa bomani au?
hiyo mixture ya dini sijaielewa
Tunapoandika habari heading huwa ni mjumuisho wa habari nzima. Sasa heading yako [h=2]Sijasikitika,nimefurahi sana Inakinzana na conclusion ya habari yenyewe. [/h]Halafu La Princesa nakutafuta
Even me never on earth nor in heaven
na wakome kweli
Mkuu kwani ndoa ni nini?si kukubaaliana kuishi pamoja ama?kosa la mwanamke ni nini hapo?
Hyo ndoa imebebwa na wazaz
Itakuja vunjika huko mbele
Huu uchanganyaji wa lugha kwenye uzi unatupa wakati mgumu sisi wengine tuliokimbia umande....manatusababishia tutembee na kamusi kama tunatunga risala...chagua lugha moja unayoimudu tiririka nayo.....kuchanganya lugha hakukufanyi uonekani mwerevu wala mjanja bali unaonyesha jinsi gani bado una fikra za kitumwa na kitwana...FKRA SAHIHI HUJA KWA LUGHA SAHIHI..........
ndoa ndiyo kigumu kwake
nimekumis wewe mchuchu
Huu uchanganyaji wa lugha kwenye uzi unatupa wakati mgumu sisi wengine tuliokimbia umande....manatusababishia tutembee na kamusi kama tunatunga risala...chagua lugha moja unayoimudu tiririka nayo.....kuchanganya lugha hakukufanyi uonekani mwerevu wala mjanja bali unaonyesha jinsi gani bado una fikra za kitumwa na kitwana...FKRA SAHIHI HUJA KWA LUGHA SAHIHI..........
Mdinidini ushaanzaa.. kisa umesikia gaidi kapigwa chini kaolewa mtumishi... Nyamayandafu wewe.. kafieee mbele na dua zako za ngedere kugeuka nyaniii... Mazakanywafanta weeee!!!!!!!!!!!!
Mdinidini ushaanzaa.. kisa umesikia gaidi kapigwa chini kaolewa mtumishi... Nyamayandafu wewe.. kafieee mbele na dua zako za ngedere kugeuka nyaniii... Mazakanywafanta weeee!!!!!!!!!!!!
nahisi utasherehekea mwaka mpya kwenye BANMdinidini ushaanzaa.. kisa umesikia gaidi kapigwa chini kaolewa mtumishi... Nyamayandafu wewe.. kafieee mbele na dua zako za ngedere kugeuka nyaniii... Mazakanywafanta weeee!!!!!!!!!!!!
Sasa miaka yote saba wanaishi hawakuwa kuzungumzia suala la tofauti za kidini hadi wanafika hatua ya kukataana baada ya kuwa wameshakuwa wazazi?? Japo ndoa imefungwa lakini imebebwa na wazazi