Je nikivua salawiri...utaduwazwa na mjebele....kunawakati mtani utavua shati nakuangalia tu
sitafanya upumbavu wa kuaamia kwa mwanaume kisa niolewe .. never on earth .. dead or alive .
ila pia wanaume unayempa mwanamke mimba alafu mnatusingizia tunapenda fashion ya single moms mkome
Na hiyo itadumu.Sasa miaka yote saba wanaishi hawakuwa kuzungumzia suala la tofauti za kidini hadi wanafika hatua ya kukataana baada ya kuwa wameshakuwa wazazi?? Japo ndoa imefungwa lakini imebebwa na wazazi
Nimefurahi sana cause atlast wamefunga ndoa,nilijaribu kuvaa viatu vya dada aliyetaka kuachwa na jamaa kisa huyo mvamizi alieachwa a month before ndoa
NiPM mkuu
nakuja nikupe joto unipe hela
mashallahnilipata 1
mashallah
sitafanya upumbavu wa kuaamia kwa mwanaume kisa niolewe .. never on earth .. dead or alive .
ila pia wanaume unayempa mwanamke mimba alafu mnatusingizia tunapenda fashion ya single moms mkome
Kwenye mimba ninyi ni waamuzi wa mwisho kupata ama kutopata. Na kama utapinga hili, kwenye kila ndoa kungekuwa na idadi ya watoto wasiopungua 9, kama mtategemea mwanaume atabiri.
Hatukomi kwann hukuchomoa wkt...... wa ejaculation ?
bado hujafikia viwango hivi vya barter trade mydia
aisee nipo hivyo
basi njoo chukua pesa tu sitaki tena joto lako
Point!....mtoto na mimba si ya huyohuyo kaka???...KWA NINI AMKATAE KWA KUWA SINGLE MOM???..MI Nadhani alimwacha kwa sababu nyingine na si ''usingle mom''