Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,189
- 1,587
Ana contents nzuri sana huyu jamaa.Tatizo lake ni uongeaji wake wa siku hizi wa kimizaha mizaha.
Kiukweli nikufurahishwa na mizaha mizaha yake alipokuwa akiongea mambo nyeti ya kitaifa.
Mlio karibu nae hem mshaurini, kutowasilisha mambo muhimu kimizaha mizaha...kama Ahmed Ally, yule msemaji wa Simba.
Leo Kama Ulimuangalia Polepole vizuri kuanzia body language yake, gestures, hata tone ya sauti, utakubaliana na mimi kuwa maudhui yake, pamoja na kwamba yalikuwa yana mantiki, lakini yalififishwa na masihara ya polepole.
Ushauri wangu tu kwa Hamfrey ni kwamba urudi tu kwenye uongeaji wake wa awali tuliomzoea na kumpa umaarufu ule wa 2013/2014 kipindi cha vuguvugu la katiba mpya...
Otherwise, ujumbe wake umefika.