Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,169
15,851
Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.

My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.

Dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
 
IMG-20240328-WA0777.jpg
 
Ni sheria za nchi husika
Kula, Kutafuna, Kunywa maji kwenye mazoezi, au kula mchana hadharani wakati wa Ramadhani ni uhalifu katika nchi za kiarabu UAE.

Wakati wa Ramadhani, hairuhusiwi kula, kunywa au kuvuta hadharani nyakati za mchana

Adhabu kwa mtu anayeonekana kukiuka sheria inaweza kuwa kifungo cha hadi mwezi mmoja, au faini ya Dirham 2,000.
 
Katika Imani Unafuata Sheria ya nchi au Sheria ya Allah iliyopo katika Quran?
 
Ni sheria za nchi zinawekwa ili kuwarahisishia watu kutekeleza sheria za mwenyezi Mungu bila bugdha. Hakuna sheria inayokataza mtu kujiremba awezavyo lakini unaonaje leo ukiamua kuvua nguo zote utembee barabarani je utakamatwa au hutakamatwa?
 
Kule zanzibar wame kamatwa watu 12 kwa kula hadharani yani walivyo kua na akili fupi kama njia ya kwenda chooni wanaona eti kula hadharani kipindi hiki ambacho wao wana jishindisha njaa ni dhambi na ni makosa kisheria alafu ushoga uliojaa kule wanaona kawaida tuu na wala huwezi kusikia wanakemea na kusema ni dhambi
 
Tuwasamehe bwana mdogo tatizo ni allah
 
Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.

My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.

dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
Dini ya Kiislamu Ndo Dini inayoongoza kwa Mauaji Kisa tu Mtu yule kazini au mkristu,Uarabuni ndo Wanaowafanyia Ukatili wa kingono Wafanyakazi wa ndani na Kuficha Passports zao, Mungu wengi Hawamjui Jinsi Wanavyojinadi Wanamjua Ingaawa Hawatimizi Maneno yake na Huruma yake everyone Has God
 
Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.

My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.

dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
Ile dini ya mwilini, misingi yake ya uongo, inaundwa na yule joka aliyetupwa kuzimu, baba wa uongo, anayeudanganya ulimwengu wote.
 
Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.

My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.

dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
Ni ulevi tu wa wanaofunga kujifanya wacha Mungu kupita wengine na kujipendekeza kwa Mungu, mbona misibani hawawakamati wafiwa
 
Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.

My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.

dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.

Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
Hujaona wapi sasa??

Kuna vitu vhengine huwezi ona mpaka uoneshwe.

Isitoshe kama unaongelea hilo kwa muktadha wa kinachoendelea zanzibar,sheria inayotumika pale ni ya jinai na sio ya kidini.

Jilazimishe kuheshimu mamlaka za watu.
 
Back
Top Bottom