Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?
nyie sio wakosoaji ndio mana hatuwapi nafasi nyie niwabomoaji kwani asie jua nyie akili zenu kama misikule mnalishwa pumba na ccm hata mabaya na uchafu wao toka miaka hamsini ya uhuru mpaka leo hamuyaoni nani cdm na nyie nani anawafanya viongozi wao miungu watu
 
jenga hoja mingoi mawaswala ya baba mwenye nyumba yamekuja wap kwani hii tarabu au mipasho tuliza ubongo sio unaleta nyimbo zako za kipwani cdm haiwezi sambaratishwa na propaganda za ccm na vibaraka wake kama nyinyi
Sasa kama mwenyewe amekiri kukopa propaganda hapo iko wapi au alitumwa na CCM akakope?
 
Ukiwa na Dr Mingoi chumba cha sindano jaribu kuvumilia maumivu wenzako wameshazoea wewe kelele na matusi ya nini? Unajitafutia ban bure wakati mimi nataka kukutibu kansa.

KANSA Za EPA,RICHIMOND,MEREMETA,RADA ma $ USWIS,umeyashindwa?,kuua raia?,kuiba masanduku ya kura?,kuvua gamba?.Ma Dokta mgando mna-shida nyie......''JANI LA TUMBAKU SUMU''imekuathiri kijana hujui wasemani,wafanyani.
 
watu hamfuatilii habari, mnakalia haja za kubuni tuu.Ufafanuzi wa wa hizo tuhuma mbona umeshatolewa??
Magamba tafuteni CD nyingine
 
KANSA Za EPA,RICHIMOND,MEREMETA,RADA ma $ USWIS,umeyashindwa?,kuua raia?,kuiba masanduku ya kura?,kuvua gamba?.Ma Dokta mgando mna-shida nyie......''JANI LA TUMBAKU SUMU''imekuathiri kijana hujui wasemani,wafanyani.
Sasa nikikutajia ninaovuta nao sijui nitakuwa natoa siri,anyway lakini jua kwamba ule mjani unawapenzi wengi sana.
 
Nenda Lumumba ukachukue ujira wako , sisi tunajadili mambo muhimu yakujenga taifa wewe unajadili upuuzi
 
Kikao gani kiliridhia? kumbuka hizi pesa si za Chadema na kuna utaratibu rasmi uliowekwa na serikali na chama husika kukubali kuufuata kwa mujiibu wa sheria ya usajili wa vyama vya siasa.

hizo ni pesa za chadema,ya chadema waachie chadema wewe ongelea ma-pesa ya EPA,RICHIMONDI USWIS MEREMETA haya ni ya umma wa waTANZANIA.unaziogopa eeeeh utafukuzwa kazi ya upiga debe?.
 
hizo ni pesa za chadema,ya chadema waachie chadema wewe ongelea ma-pesa ya EPA,RICHIMONDI USWIS MEREMETA haya ni ya umma wa waTANZANIA.unaziogopa eeeeh utafukuzwa kazi ya upiga debe?.
Ndio mnavyojidanganya eehh..
 
kweli hii ndo aina ya watanzania tulio nao,magamba tunawachukia kwa matumizi mabaya ya rasilimali za umma,kama makosa hayo kayafanya slaa kwanini utetee upuuzi?inamana slaa hapaswi kukosolewa?mbona mnatuhadaa watanzania,tunataka viongozi waadilifu na si madikteta wanaojiona miungu watu wakiwa hawajapata madaraka makubwa.inshort slaa ni fisadi na hana tofauti na museven wa uganda.akiwa rais atamtangaza mushumbusi kua waziri wa fedha.
 
heri ya slaa awe rais kuliko tundu lissu awe mbunge & J.k

sometimes we geuza sentensi na maneno yake
 
kweli hii ndo aina ya watanzania tulio nao,magamba tunawachukia kwa matumizi mabaya ya rasilimali za umma,kama makosa hayo kayafanya slaa kwanini utetee upuuzi?inamana slaa hapaswi kukosolewa?mbona mnatuhadaa watanzania,tunataka viongozi waadilifu na si madikteta wanaojiona miungu watu wakiwa hawajapata madaraka makubwa.inshort slaa ni fisadi na hana tofauti na museven wa uganda.akiwa rais atamtangaza mushumbusi kua waziri wa fedha.

Wewe kiroboto kweli kukopa ni kosa?
 
Ndio mnavyojidanganya eehh..

Aaa chadema nao kumbe alikopa 20ml tuu.. Sasa huyu katibu angekopeshwa zaidi hata ingewezekana 500ml sisi wanachama hatuna shida alimradi hajaiba. Tunapenda raisi wetu huyu tunaependezwa nae asihangaike yeye akitumikie tuu chama.. Nadhani hili wanachama hatuna shida nalo... Magambo leteni propaganda nyingine hii CD ishachuja hahahaaaa aaa
 
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?

kama unaona kukopa ni upuuzi chukuwa ngoma,zeze,vuvuzela na filimbi ukamshangilie na kumupongeza fisadi Lowasa na watu wake kwa kazi nzuri waliyoifanya.
 
Kikao gani kiliridhia? kumbuka hizi pesa si za Chadema na kuna utaratibu rasmi uliowekwa na serikali na chama husika kukubali kuufuata kwa mujiibu wa sheria ya usajili wa vyama vya siasa.
Hivi unafikiri ingewezekana vipi yeye kwenda tu benk na kuchukua hela na kuondoka nayo bila kuridhiwa na viongozi wenzake? Kama alifanya hivyo, wewe umejuaje kwamba kuna hela alichukua? Si ndiyo hivyo vikao ambavyo na akina Shonza walihudhuria na hatimaye kutoa siri nje ya chama?
Pili ukiniambia zile siyo fedha za chadema nitakushangaa sana. Maana zile fedha ni za serikali pale zinapokuwa serikalini, na zinapokuwa mikononi mwa CHADEMA wanachadema wana utaratibu wao wa kuzipangia bajeti zikiwemo hizo program za M4C na kadharika. Lakini zaidi ya hote, hadi hivi sasa, hakuna ushahidi wa wazi kwamba Dr. Slaa alikopa hizo pesa, na kama kweli alikopa hakuna hata mmoja mwenye ushahidi dhahiri kwamba zilikuwa ni za ruzuku.

Lakini mwisho wa yote, kama alikopa ina maana zitarudishwa? Sasa tatizo ni nini? Mbona wabunge wakifika bungeni wanakopeshana magari ya milioni 200 hadi 300, itakuwaje ajabu kwa katibu wa chama naye kukopa pale ambapo panamhusu kwa ajili ya kutatua matatizo yanayomkabili? Hakuna hata mmoja kati yetu aliyeweza kueleza ni mazingira gani yaliyopeleka Dr Slaa kukopeshwa hizo hela kama kweli alikopeshwa. sasa tunapata wapi huo ujasiri wa kulalamika na kumshambulia wakati hatujui basis ya huo mkopo? Ni kwa vipi basi hatuwashambulii wabunge wetu ambao tumewachagua kwenda kuwa wasemaji wetu bungeni, badala yake wanafika huko na kukopeshana mapesa na kudai nyongeza za posho na mishahara kutoka kwenye hela ya serikali.

Mwisho nataka nikukumbushe kwamba CCM ndiyo wenye ruzuku kubwa kuliko vyama vyote nchini, unaweza kutuambia ni kazi gani wanafanyia hiyo hela? Hawana mikutano ya hadhara au operations kama zila za CHADEMA kama Sangara na M4C inayoendelea sasa. Je wanazipeleka wapi hela zao? Mabilioni kwa mabilioni? CCM wamepora viwanja, ofisi na rasilimali mbalimbali za wananchi na kuziita zao, na zinawaingizia kipato hadi hivi sasa eg uwanja wa Kirumba-Mwanza. Kumbi za mikutano kimwaga, jengo la vijana CCM Dar, ofisi zake zote, ambazo kimsingi zilijengwa kwa gharama ya wananchi wote wakati wa chama kimoja, na sasa zinatumiwa na CCM. Je wana nini wanachowafanyia wananchi kutokana na kuwa na mali zote hizo ambazo kimsingi ni za wananchi wote? Ni kwanini milioni 140 za Dr. Slaa ziwaume hivyo ilihali hamhusiki nazo? Fanyeni mambo yenu, tuacheni na chadema tufanye mambo yetu.
CC. Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama mwenyewe amekiri kukopa propaganda hapo iko wapi au alitumwa na CCM akakope?
[/QU

WE JAMAA KM ULIKUWA UNASHIKA HATA NAFASI YA PILI DARASAN ILIKUWA UNAONEWA,YAKO NI NAMBA MOJA.UNA AKILI HADI UNAWAUDHI CDM,INSHALLAH MUNGU AKUOENGEE HEKIMA
 
kweli hii ndo aina ya watanzania tulio nao,magamba tunawachukia kwa matumizi mabaya ya rasilimali za umma,kama makosa hayo kayafanya slaa kwanini utetee upuuzi?inamana slaa hapaswi kukosolewa?mbona mnatuhadaa watanzania,tunataka viongozi waadilifu na si madikteta wanaojiona miungu watu wakiwa hawajapata madaraka makubwa.inshort slaa ni fisadi na hana tofauti na museven wa uganda.akiwa rais atamtangaza mushumbusi kua waziri wa fedha.

Sikiliza wewe kiroboto, hatutaki raisi wetu tunaependezwa nae akosolewe na pimbi kama wewe huna hoja.
 
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?

Akikosolewa wa kwenu nyie huwa mnaimba na kushangilia? Tunatetea tunachokiamini
 
Bunge limeweka utaratibu rasmi kukopesha wabunge fedha na kila mmoja anafahamu hilo,Je Chadema imekaa kaa vipi? na kwa nini iwe siri?
 
watu hawataki mabwana zao wakosolewe,hamuwezi kumfanya huyu dikteta awe kiongozi wa watu,hajaanza ufisadi leo,alianzia kwenye kufisadi pesa za kanisa mpaka akaondolewa ktk nafasi aliyokua nayo,pia alifisadi project ya kuwasaidiwa wenye uoni hafifukule kilombero mwaka 1992,na kila unapoonyesha weakness zake yuko tayari hata kuua.tanzania inahitaji mabadiliko ila si kumeka huyu mzinzi,wapo aki na pro.lipumba wanaoheshimiwa na dunia nzima,pia wapo aki na zitto ambao wamekua wakiisimamia serikali,sio siasa za majungu,ukabila na udini,zimepitwa na wakati mbowe ni kichwa maji na ndo mana hajui hata alitendalo,because hana hata cv mtandaoni.
 
Kikao gani kiliridhia? kumbuka hizi pesa si za Chadema na kuna utaratibu rasmi uliowekwa na serikali na chama husika kukubali kuufuata kwa mujiibu wa sheria ya usajili wa vyama vya siasa.

wewe gamba mpunga pepo, toka lini umekuwa na uchungu na CHADEMA kama sio unafiki na uzandiki tu?! Nitajie matumizi ya ruzuku yenu kama hutambwera hapa.
 
Back
Top Bottom