Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Unatakiwa ujiongeze na wewe, mwanamme anapokwambia chagua ujue anakupima akili yako.

Amegundua wewe hujiongezi ndio maana amefakamia chakula, amejua hutakuwa wake ndio maana ameona badala ya kukosa vyote bora ale chakula tu🤣🤣🤣
😀😀😀😀
 
Ungekuwa na hela zako na unajua kujitegemea usingekuja kulalamika huku boss lakini pole kwa yaliyokukuta hili nalo ni kama tangazo subiri tu wateja wanakuja
 
Na mm kufuta no yake ni faida pia kwangu coz sio mkwlei ni tapeli na muongo tu anaishimaisha ya maigizo sio husband material
Tafuta hela acha kutegemea wengine,utajikuta unagongwa na kila mtu kwa tamaa zako za kijinga,wewe ndio tapeli,kama sio tapeli kula kwa hela zako.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Sasa kama place yenyewe haina hata sehamu ya kulala tutapumzika wapi baada ya mlo?
 
Uyo binti nae njaa Kali,
Unatolewaje date afu unaagiza mavyakula ya kula kushiba? Tena yaliyoshikwa shikwa na mikono na Watu?

Ukivimbewa ukachafua Hali ya hewa je?

Au Tumbo likichafuka ukabanwa kuharisha je?
Najishukuru sana kwenye hiyo sector ya mtoko najua how to play,sibabaiki kabisa na chakula...nakula very simple food and siwezi kabisa kuagiza nyama ya kuku na chipsi kwenye first date,Sipendi kabisa 😅😅
 
Kwa nini uchague sehemu ambayo bia ya kawaida inauzwa 5000?
Mwenzio amebana matumizi kutokana na hotel ya bei ya juu uliyoichagua.Hali ngumu jamani usimfanyie hivyo kijana wa watu qlipiga dash ku order chakula chake ili bill yako awe na uwezo wa kuilipa.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Tatizo mapenzi yetu waswahili tunamix Love na Appetite a.k.a Njaa. Hivi Date out lazima mle?
 
Mwanaume yeyote mwenye akili hawez mpa nafasi mwanamke achague sehemu ya date huyo ni zwazwa haswa

Mwanaume unatakiwa uchague sehemu ya date na gharama za vyakula na vinywaji kabla huyo mwanaume ni msela mavi
Mwamba hakukosea,alikuwa sawa kabisa,sema kavamia level sio zake ndio alipokosea...Binafsi nikitolewa out siwezi kuagiza vyakula vya bei kama unamkomoa mtu....nashika menu,naagiza chakula ambacho naamini binadamu yeyote anayejitambua anaweza afford...
 
Sisy unaagiza ambacho hata mwenyewe unaweza kujilipia. Wanaume wa kibongo hawachelewi kukimbia bill ooh!! Sio wa kuwaamini hata kidogo 😂😂😂
 
Sisy unaagiza ambacho hata mwenyewe unaweza kujilipia. Wanaume wa kibongo hawachelewi kukimbia bill ooh!! Sio wa kuwaamini hata kidogo 😂😂😂
Hata kama nimekuambia agiza chochote ndio uagize juisi ya elfu 50?🤣 Tusitaftane ubaya aisee.
 
Sema wewe ulikuwa humtaki pia.

Mi najua Msichana akishakukubali na ana malengo na wewe she will always be simple and cheap.

Zile mitoko mnaenda mnatumia 100k kwa misosi next time anakwambia baby hizi tulizokula ni Kuku tu na Juicy hata kwetu tungetengeneza Kuku na Juicy na isingefika hata elfu 30. Baby let us save money.

Unajua hapa una chombo.

Wanaume wote tunapenda wananwakw wa dizaini hii hata kama tunajifanya hatujali
🤣 Mwanamke akikupenda hakupeleki maeneo ambayo utafilisika kwa masaa machache. 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom