Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Sasa kama umeshaona hayo madhaifu yake si ungemwambia abadilike au ungemvumilia? Ukimuacha huyo mwanaume ni faida kwake coz wewe sio wife material,huna uvumilivu,hata ungeishi na huyo mwanaume,siku ambayo itatokea matatizo ungemkimbia tu,huenda hata yeye amekuwekea huo kama mtego tu ili akupime uvumilivu wako.

Na mm kufuta no yake ni faida pia kwangu coz sio mkwlei ni tapeli na muongo tu anaishimaisha ya maigizo sio husband material
 
Mje muanze kulialia na hela za mawazo

Mie natoka nyumbani nimeshiba ugali,na mfukoni nina chochote kitu.
Nilikatazwa kununuliwa chakula.

Kama ulikatazwa kununuliwa chakula Basi na kwenye ndoa uwe unajilisha mwenyewe Lol
Au ata kwenye relationship fanya kila kitu mwenyewe bila mchango wowote wa wa mwanaume uone raha yake
 
Tena Ndio ingependeza na ningempa na hela ya mafuta na next time mm Ndio ningemtoa out na kumhudumia vizuri na ikiwezekana kumuweka ndani tu
Chakula tu anachokilipia yeye kimekuuma mpaka unasema ulimblock.
 
Katika umri huo we unajiona uko sahihi kulilia chakula?,kingine unaonekana una tabia ya uchoyo
 
bhas hapo unajiona umewin yan unajiona una akili sana unajua kuchagua!!!nimalizie tu kwa kusema wew ni zoba zoba zoba.

Wanawake wengine sijui inakuaje yan km jana nipo nyuma ya vibint viwil miaka yao ni km 22-24 kimoja kinamshaur mwenzake bwana ake akimtumia msg amwambie kuwa simu yake ni mbovu amnunulie akigoms bhas asipokee simu zake niliwaangalia ukiwaona sas km wanawake wa maan kumbe kichwani ni mavi matupu

Lazima tuwaambie tu ukweli wanaume ata iwaume vipi achaneni na maisha ya kuigiza mtaumbuka
 
Sema ukiwa na umri 20s unabidi kuishi MAISHA yenye maana na sio kutegemea offer za wanaume ili upate kitu, sometime waafrica mnakuwa kwa kurudi nyuma na sio kwenda mbele.

Yy Ndio kaomba kunitoa mm on a date
Angesema hawezi ku afford Basi mm ningempeleka na kumhudumia kila kitu yule mwanaume suruali
 
Amefanya vizuri sana,kukutongoza agalimike ,kukulisha agarimike na bado kulitafuta bao agarimike safi hiyo ndo dhana bora 50/50 ameitendea haki ipasavyo coz kipindi anasulubika kubeba zege hukuwepo

Na mm kipindi na build my future na kujitengeneza na kuwa mrembo hakukueposo asidhani kudanganya kwake ndo atawapata wanawake kirahisi
 
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Alikufikisha kagongwabusisi au hakukugonga baada ya kula huo mtama wake?
 
...usifkir hcho chakula ulichokula kidogo umekula bure... Kuwa na busara bc dear shemu... Amekula coz kajiskia kula... Afu ulikosea kususa kula kisa yeye kaonja... Uo ni ulafi... We ungekula nae kama haikukuuma yeye kula shemejiiii... 52iii2 V1/291/2 2C11/112222...
 
Bora ulivyofuta namba yake, huyo angekusumbua sana siku za usoni....

Hana haiba ya uanaume, hajiamini, hana aibu pia.
Siku hizi hua tunauliza Bei kwanza kabla ya kufikishana mbali wewe breakfast unatumia 200k wakati mwajuma nchokonoe anatumia 1500 ya mihogo alafu mnamiliki kitu kile kile sasa si Bora mtu ajipimie kina chake mapema
 
Mpaka mwanamume akwambie uchague sehemu anajimudu.

Wewe ulikuwa unachunguzwa ni aina gani ya demu

Kwa sababu mwisho wa siku bado alilipa hizo bills

First date imeonyesha wewe ni mwanamke wa aina gani.

Wenzenu wazoefu first date huwa wanakuwa humble hawaombi nauli wala hela ya mafuta ya gari ikiwa ana usafiri hadi anachoagiza sehemu wamekutana

Nilikuja na gari yangu si kumuomba hela ya mafuta na hela nilikua nayo kwenye my purse na kwenye simu pia, Basi na mm nilikua nampima pia na Ndio maana nimeona hanifai nimefuta namba yake na sijapokea simu zake hadi leo hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom