Vipi ulimpa k??Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Hawa wengii njaa.... Na alkuwa anapimwa tuu akili .....Umesema vyema
Njaa mkuu ndio shida ya hawa mamanzi.
Hawa ndio wale ukimtoa outing atapiga picha msosi uliomlipia na kupost kwenye mitandao ya kijamii kuwatambia wenzake
Zote izo ni mwembembe kinacho_mata ni kibunda mkuuMwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.
Hajiamini, hana uwezo wa kuishi na wewe.pia hongera we ni mwanamke unayejielewa.
Next few wks nitakuja na series ya kuwafunda wanaume jinsi ya kuandaa mtoko wenye mafanikio kwa Mwanamke unayekutana naye kwa mara ya kwanza
Tutajadiliana vifungu vifuatavyo
1. Jinsi ya kupanga kukutana
2. Namna ya kujiandaa kukutana
3. Namna ya kuvaa siku hiyo( hakuna haja ya gharama za nguo)
4. Jinsi ya kutembea
5. Tabia na mienendo za kuwa nazo au ,a kuepuka unapokuwa n mwanamke kwa mara ya kwanza.
Ktk uzi wa Mwanadada huyu ametaja mambo mazito ambayo braza kakosea sana na imepelekea Mwanadada kumuona ni mtu wa hovyo na hafai kuwa Mwanaume wake.
Stay tuned.
Pole sana kwa kukutana na jamaa mwenye ushamba, yaani kwanza ako na kipato alafu ni mubahili afu ni mshamba tu sasa kwa alilo lifanya kajiaibisha sana.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Kabisa mkuuHawa wengii njaa.... Na alkuwa anapimwa tuu akili .....
Tujifunze kupelk familia zetu dinner watt wasije tia aibu.... Kwakwel sio poa mzee wangu
Mwamba kasema anatk kufunda wanaume kuhus date!!! He is not seriouslyZote izo ni mwembembe kinacho_mata ni kibunda mkuu
wanaume hatuna mambo mengi..... Vitendo tuuSa si ungezuia muamala😂😂Wewe ndo wale wale hamna cha kuchangia zaidi ya kutoa pussy na mwanaume akiomba mtoko huwa mnafanya kama kukomoa ivi kwann usinge chagua sehem nzuri ya bei rahisi? Kwanza jamaa angekuona una akili sana hata mshikaj huko alipo na yeye atakuwa amefuta na namba yako kabisa!
Nilimuombaga dem mmoja mtoko akakubali nikampa location tutakapo kwenda akasema mbona mbali sana gari yake haina mafuta nikamwambia usijali nitakutumia hela ya wese akasema poa nilichokifanya nikasema ngoja nione huyu ni mwanamke wa aina gani nilimtumia 30k nikamwambia weka mafuta hiyo akajibu sasa 30k itatosha mafuta gani na gari yake ina engine kubwa asee hapo hapo nikasema basi baki huko ulipo mimi nitakufata nilivyokata simu tu nikafuta na namba stupid kabisa! Yani 30k ya mafuta yeye anaona ni ndogo mbona hakuwa nayo sasa
Kabisa men haturembiiiMwamba kasema anatk kufunda wanaume kuhus date!!! He is not seriouslywanaume hatuna mambo mengi..... Vitendo tuu
Exactly..... Sasa yeye uko kaenda na njaa zake...... Mim hata washkj nawaambia kabisaa tutoke tuyajue maeneo expensive, standard na ya chinii.... Sio unalikwa ata kweny dinner unakuja na suti...Kabisa mkuu
Tuanze kuwazoeza mapema binti zetu waone ni vitu vya kawaida
Ili siku akiombwa date aelewe kusudi la date ni nini.
Misosi na vinywaji ni vitu vya ziada ila mazungumzo na kujuana ndio kusudi kuu
Huyu atakuwa hayuko sawa kichwaniiKabisa men haturembiii

badala atuambie madili ya ela anakuja na date na anampondea mshkjTatizo sio kulipa bills, yaani yeye ni fala sana anamnunulia demu msosi afu yeye anakunywa maji huku akiwa na njaa, na ni kwa nini uombe outing huku ukiwa huna kitu au unacho ila ni bahili, mwisho wa siku ushamba ulivomzidi akafakamia msosi wote bila aibu.Bora ulivyofuta namba yake, huyo angekusumbua sana siku za usoni....
Hana haiba ya uanaume, hajiamini, hana aibu pia.
Tatizo lilianzia hapa, ndio maana kwa njaa zake akasusa hadi msosi akaona hatashiba wakila wawiliSasa yeye uko kaenda na njaa zake
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Ajilipie ana jeurii.... Vocha tuu kaomba .... Apo hasira hasaraUngemuonyesha jeuri kwa kuagiza chakula kingine, na ungeclear bills zote na ungetoa tip kwa mhudumu then ndo ungefuta namba yake na kumpotezea.
Ingemuuma hiyo mpk mwisho wa uhai wake.
Tatizo na wewe tegemezi![]()
Huyo ni Juha(POPOMA)Huyu atakuwa hayuko sawa kichwaniibadala atuambie madili ya ela anakuja na date na anampondea mshkj