Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

Kama raia wengi hasa wale wenye akili hawatakuwa na ujasiri wa kusimama na kudai haki Lissu na Heche watapotea tu kwenye historia kama walivyopotea wengine wengi.
 
Atakufa mamako na yanayokuparura kisamvu.
kama kufa mama yangu atakufa hata wako atakufa piah

Mtoa maada kaandika bila lisu na heche tanzania itakuwaje anamaanisha wao ndo wenyeumuhimu pale chadema hakuna pengo lisilo zibika hata ikitokea leo wamekufa watatokea wengne pale chadema inawezekana hata wakuwazidi wao
 
Back
Top Bottom