Sihitaji teeena kufanya kazi SERIKALINI

Sihitaji teeena kufanya kazi SERIKALINI

Punguza hasira,serikali inalea ndg!waweza umwa hata miez sita na salary hiko palepale.
 
Tangazo wanatoa wenyewe eti chagua sehemu tatu utakazohitaji kufanya kazi..mtu unachagua mikoa tena ht siyo dar.,, mwanza...arusha...ni mikoa mingine kabisaa unayoona inafaa..tena mpk mkoa wako ulozaliwa huko kijijini umeuchagua na wataalamu hakuna.lakini hawakupangi...wanaenda kukupanga kwingine..nje kabisa ya halmashauri ulizochagua hizo 3...sasa mlikua na maana gani tuchague..halafu watoto wa vigogo mnawapanga dar...na wizarani..ili wasifanye kazi..this suuuucks..yote ya nini ntabaki huku huku private..ukizingatia nimesomeshwa na baba yangu tangu vidudu mpk chuo...sijatumia sentI yenu kunigharamia ukizingatia mkopo wenyewe mnaangalia sura..sio lazma saana..huwezi nilazimisha kwenda nisipochagua

Je huhitaji kuwakomboa wengine?
 
ndio mlivyo mkinyiwa ajira mnaanza kukilalamikia chama tawala haya bana wenzako hata hizo Halmashauri walizitaka lakini wamezikosa wapo tu mtaani Hongera kwa kupata privtae huko kazana mkuu!
 
Tatizo upendeleo umezidi tena wazi wazi...kwanini wengine wawe treated kispecial special...
 
ndio mlivyo mkinyiwa ajira mnaanza kukilalamikia chama tawala haya bana wenzako hata hizo Halmashauri walizitaka lakini wamezikosa wapo tu mtaani Hongera kwa kupata privtae huko kazana mkuu!

Ni wapi nimetaja chama..okey sawa ntaingia govt siku WAPINZANI wakiwa madarakani
 
Tangazo wanatoa wenyewe eti chagua sehemu tatu utakazohitaji kufanya kazi..mtu unachagua mikoa tena ht siyo dar.,, mwanza...arusha...ni mikoa mingine kabisaa unayoona inafaa..tena mpk mkoa wako ulozaliwa huko kijijini umeuchagua na wataalamu hakuna.lakini hawakupangi...wanaenda kukupanga kwingine..nje kabisa ya halmashauri ulizochagua hizo 3...sasa mlikua na maana gani tuchague..halafu watoto wa vigogo mnawapanga dar...na wizarani..ili wasifanye kazi..this suuuucks..yote ya nini ntabaki huku huku private..ukizingatia nimesomeshwa na baba yangu tangu vidudu mpk chuo...sijatumia sentI yenu kunigharamia ukizingatia mkopo wenyewe mnaangalia sura..sio lazma saana..huwezi nilazimisha kwenda nisipochagua

nadhani the best option ni kuanza kufikiria ujasiria mali zaidi. Hapo utakuwa huru kufanya unachotaka kwa mkoa au mji utakaoupenda
 
Oil chafu imevuja mapema, Nafuu kwa Gari letu! Una utaalam gani au kitu gani specila cha kuitikisa serikal kwa kukataa kituo ulichopangiwa? Serikal ni ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi!
 
Ni wapi nimetaja chama..okey sawa ntaingia govt siku WAPINZANI wakiwa madarakani

kwingine kote huko ulikua unazuga tu, lakinipoint yako iko hapa, chadema bwana hamuishi kuwa na mbinu zenu za kitoto kabisa
 
Tangazo wanatoa wenyewe eti chagua sehemu tatu utakazohitaji kufanya kazi..mtu unachagua mikoa tena ht siyo dar.,, mwanza...arusha...ni mikoa mingine kabisaa unayoona inafaa..tena mpk mkoa wako ulozaliwa huko kijijini umeuchagua na wataalamu hakuna.lakini hawakupangi...wanaenda kukupanga kwingine..nje kabisa ya halmashauri ulizochagua hizo 3...sasa mlikua na maana gani tuchague..halafu watoto wa vigogo mnawapanga dar...na wizarani..ili wasifanye kazi..this suuuucks..yote ya nini ntabaki huku huku private..ukizingatia nimesomeshwa na baba yangu tangu vidudu mpk chuo...sijatumia sentI yenu kunigharamia ukizingatia mkopo wenyewe mnaangalia sura..sio lazma saana..huwezi nilazimisha kwenda nisipochagua
Hasira za mkizi,kwani ukiacha utamkomoa nani.
 
Punguza hasira,serikali inalea ndg!waweza umwa hata miez sita na salary hiko palepale.

Hakika...mpe somo aelewe umuhimu wa serikali na kwanini mtu anaacha mshahara wa laki nane private company na kwenda kulipwa laki tano serikalini
 
ukifanya kazi serikalin uwe tayari kufanya kaz sehemu. ndio maana vijana wanalalamika kaz hakuna kumbe mnataka kufanya kazi sehemu unayotaka. wengi wanataka dar kwa sababu kuna club nyingi ..wewe hauko serious na kazi. ukitaka kaz sehemu unayotaka jiajili
 
Saaaaaaaaaaaafi maamuzi mazuri 2
kwani serikalini kuna nini?komaa uko uko pvt mkuu
 
Punguza hasira,serikali inalea ndg!waweza umwa hata miez sita na salary hiko palepale.
Hiyo hata makampuni binafsi ipo... Inaanza miezi 6 mshahara mzima, then kama bado hujapona inafuata nusu mshahara, then unaondoshwa kazini kama bado hujapona...
 
Serikalini kutamu nasikia lakini tatizo tgs tu,,

Wakifuta tgs tu nami nazama serikalini maana kutoka kwenye scale za private company kwenda kupokea tgs serikalini inahitaji roho ya paka...
 
Serikali ilikufuata kwenu ili ikupe kazi???.
 
haya maamuzi yako umefanya ukiwa na akili yako timamu usije kurudi kulalamika mara oh private kama wenzako.
 
Back
Top Bottom