Sihitaji teeena kufanya kazi SERIKALINI

Sihitaji teeena kufanya kazi SERIKALINI

Ushauri wangu wewe nenda walipokupangia ukijipanga vyema unaweza zogea sehemu uliyopanga maana ukilalamika ukiwa umeingia ni bora kuliko ukiwa njee sasa basi kama ulijaza na kupangiwa sipo ni nafasi nzuri ya kulipot ulipo pangiwa then utadai hayo madai ya kuwa uliomba sehemu gani then umepangwa wapi? Hivyo ripoti hiyo sehemuwalipokupanga kwa wakati maaana uzwezi kiujua mungu anampango gani na wewe kupelekwa huko.
 
Oil chafu imevuja mapema, Nafuu kwa Gari letu! Una utaalam gani au kitu gani specila cha kuitikisa serikal kwa kukataa kituo ulichopangiwa? Serikal ni ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi!

wewe unacho,hongera huenda una kabaang
 
kwani haja yako ilikuwa wasichana? au kaz! basi kama haja yako ilikuwa wasichana ungebeba dada yako ukaenda naye
 
kwani haja yako ilikuwa kaz? au wasichana? kama ni wasichana ungemubeba dada yako ukaenda naye
 
rudi bwana, mimi baada ya miaka 2 narejea huko!
 
Punguza hasira,serikali inalea ndg!waweza umwa hata miez sita na salary hiko palepale.

HAPO PENYE RED COLOR NDIPO PANAPONIFANYA NISITAMANI KUFANYA KAZI SERIKALINI...PANAUWA VIBAJI VYA WATAALAMU NA KUTENGENEZA WAVIVU WA KUFIKIRI NA WATU WA KUWAZIA POSHO ZA SEMINA NA PER DIEM ZA SAFARI NA MWISHOWE WENGI WA WAFANYAKAZI KUISHIA KULOGA KWA WAGANGA PLUS MAMBO YA KUFANYA KAZI KWA MADODOSO SIJUI DOKEZO...KAMA MKUU WAKO KASAFIRI KAZI INASIMAMA MPAKA ARUDI..BULL SHIT GOVERMENT FULL UVIVU.

JAMAA YANGU ENGINEER ALITOKA SEKTA BINAFSI AKAINGIA TANESCO..HAKUMALIZA MIEZI SITA AKAJITOA NA KURUDI MTAAANI KUPIGA KAZI..SIO PALE KUSOMA MAGAZETI NA NCHI HAINA UMEME WATU WANAKIMBIZAQNA NA POSHO.

NITAFANYA KAZI SERIKALINI KWA HESHIMA YA ELIMU NILIYOPEWA NA BABA WA TAIFA NYERERE (R.I.P my living legend) NIKIFIKISHA UMRI WA MIAKA 61...CHINI YA HAPO TEMPO YANGU YA UTENDAJI ITAKUWA KUBWA KULIKO WENGINE WOOTE WALIOKO SERIKALINI SOO WATANIKERA NA KUNIFRASTRATE ...SITAKI STRESS ZA UJANANI.
 
Punguza hasira,serikali inalea ndg!waweza umwa hata miez sita na salary hiko palepale.

Lakini huko kulea kusiwe ndio pumbazo la kutotendewa haki. Kama wanajua watakupangia kufanya kazi mahali wanakotaka wao, kwa nini wakwambie ujaze sehemu unayotaka kufanyia kazi?
 
Kama umesoma na unajiamini, then hauna sababu ya kufanya kazi serikalini. Kufanya kazi serikalini ni sawa na kujitafutia kifo tu kwani kiama utakiona pale unapostaafu. Hakuna hela ya maana unayopata japo wengine wanaona ndiyo wamepata kupata milioni 20-50 for life (after kustaafu). Serikali haina mpango.
 
Kwani ulitaka kufanya kazi serikalini ili iweje? Ili ukafanye uvivu?
toa majibu kama unatumia mdomo kuongea ndugu, sio unatoa majibu kama vile unatumia kinyeo kuongea

amekwambia alitaka/anataka kazi serikali ili awe mvivu? anazungumzia ubabaishaji na upendeleao uliopo kwenye ajira za serikalini!
 
Lakini huko kulea kusiwe ndio pumbazo la kutotendewa haki. Kama wanajua watakupangia kufanya kazi mahali wanakotaka wao, kwa nini wakwambie ujaze sehemu unayotaka kufanyia kazi?

Haswaa ndg yangu..wasingetuambia tuchague..tena mm ni mkazi wa dar nimechagua kwenda mikoa ambayo ninajua kabisa watu hawaendagi...kuna mtu wa dar utampangia kwenda MARA, TANDAHIMBA, MANYARA atakubali..ss me nilijiandaa kwenda huko...hawanipeleka wananitafuta nini..ningeomba nibaki DAR je
 
Serikalini kutamu nasikia lakini tatizo tgs tu,,

Wakifuta tgs tu nami nazama serikalini maana kutoka kwenye scale za private company kwenda kupokea tgs serikalini inahitaji roho ya paka...

Patamu ukiwa uhasibu ama nafasi yoyote ya utawala!vinginevyo utajuta kama teja!kuacha kazi unataka lakini huachi unazidi kudhoofika tu!Ndio sababu wengi wanajihusisha ushirikina sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom