Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Kumbe tatizo la ajira Bongo si kubwa kama nilivyodhani!Yaani kumbe vijana mpaka wanazikataa kazi?
mh...acha unyamwezi wako kijana...
Kumbe tatizo la ajira Bongo si kubwa kama nilivyodhani!Yaani kumbe vijana mpaka wanazikataa kazi?
mh...acha unyamwezi wako kijana...
Tangazo wanatoa wenyewe eti chagua sehemu tatu utakazohitaji kufanya kazi..mtu unachagua mikoa tena ht siyo dar.,, mwanza...arusha...ni mikoa mingine kabisaa unayoona inafaa..tena mpk mkoa wako ulozaliwa huko kijijini umeuchagua na wataalamu hakuna.lakini hawakupangi...wanaenda kukupanga kwingine..nje kabisa ya halmashauri ulizochagua hizo 3...sasa mlikua na maana gani tuchague..halafu watoto wa vigogo mnawapanga dar...na wizarani..ili wasifanye kazi..this suuuucks..yote ya nini ntabaki huku huku private..ukizingatia nimesomeshwa na baba yangu tangu vidudu mpk chuo...sijatumia sentI yenu kunigharamia ukizingatia mkopo wenyewe mnaangalia sura..sio lazma saana..huwezi nilazimisha kwenda nisipochagua
Punguza hasira,serikali inalea ndg!waweza umwa hata miez sita na salary hiko palepale.
sikubaliani na wewe, kuna watu wanastafu serikalini wanakula pension hadi 200m. inategemea umefanya kazi kwa muda gani na unastaafu na mshahara kiasi gani.Kama umesoma na unajiamini, then hauna sababu ya kufanya kazi serikalini. Kufanya kazi serikalini ni sawa na kujitafutia kifo tu kwani kiama utakiona pale unapostaafu. Hakuna hela ya maana unayopata japo wengine wanaona ndiyo wamepata kupata milioni 20-50 for life (after kustaafu). Serikali haina mpango.
Tatizo upendeleo umezidi tena wazi wazi...kwanini wengine wawe treated kispecial special...