Sihitaji kupewa cheo na Rais Magufuli, nahitaji mawazo yangu ayaishi Rais Magufuli

Wewe jamaa hauko sawa akilini,nahisi unatafuta umaarufu kwa nguvu. Kila siku unapost mautumbo...
 
Unasema shule zimefungwa umepumzika kwa sasa,akili ya haraka inanijia kwamba wewe ni mwalimu,basi walimu mna safari ndefu kwa kuwa na watu wa kariba kama ya kwako.
 
Mkuu una busara na hekima nyingi. Unajua lazima ungetumbuliwa. Rais hataki independently thinking civil servants! Hiyo haina mjadala!! Sikukuu njema na wewe.
 

Nilishatoa angalizo hapa jukwani kwamba watu wa karibu yako inabidi wawe karibu sana na wewe kwani nina mashaka unaweza hata kujinyonga kwa huu msongo wa mawazo ulio nao.
 
MKUU, LAZIMA UNA TATIZO, USIPUUZIE KAJICHUNGUZE

Kuna mtu alisema unatafuta umaarufu kwa nguvu.. mimi nilimpuuza
Ila naanza kuziona alama zote za ukweli wa ile kauli.
Mkuu huyu wala sio anatafuta umaarufu bali ana ugonjwa wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…