Sigara kanisani!

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Ebwana nilikuwa kanisani jamaa mmoja akaingia na Sigara! Dah nilishtuka kweli ilibakia kidogo tuu nidondoshe bia yangu!
 
Hiyo ni moja ya haki ya msingi ya binadamu ya kufanya kitu chochote wakati wowote ili mradi huvunji sheria zilizowekwa e.g alama ya no smoking!
 
Mh mama! Kwa hiyo kama hakuna bango la 'no smoking' hakuna shida?
 
No problem iwapo uko kwenye nchi huru ya kidemokrasia inayoheshimu haki za binadamu.

Do Tanzania fits there? Kwamba ni nchi huru ya kidemokrasia inayoheshimu haki za binaadam?
 
Back
Top Bottom