Sitokwenda tena kanisani mpaka nisikie viongozi wa kanisa wanaweka sheria kali kwa uvaaji wa mavazi ya hovyo kwa wanawake ndani ya kanisa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,229
12,757
NALIA NGWENA Leo nimefadhika sana Tena na mungu atanisamehe kwa hilo, nimeona ili nisiwe na poteza muda wangu ni Bora nisiende kanisani tu.

Ipo hivi, nimeona mavazi ya ajabu yaliyovaliwa leo kanisani mpaka nikajiuliza nipo kanisani au klabu Tena siyo kwa madada mmoja tu Bali nimeona kwa wadada tofauti kwa kweli nilifadhaika mno.

Imagine nguo imewamba imetaiti mwili na kijungu kimebinuka Kama mtungi wa gesi halafu mtoto wa kike yupo mbele anacheza kwaya kwa kweli nilijikuta nameza fundo la mate na mwazo yangu kwenda mbali kabisa.

Dooh, Fito yangu ndani ya boksa ilinyanyuka na kusimama vilivyo na kunipelekea kukosa amani kabisa, mwamba niliona ngoja niende walau toileti nikatafute njia mbadala nilifika toilet nilipiga push up walau kumi ili kutuliza munkali Wa Fito/Abdala kichwa wazi na kweli nilifanikiwa lakini cha mtema kuni nilikiona maana nilifadhaika mno Tena mno.

Maoni Yangu: Viongozi wa kanisa msifuge huu upuuzi wa dada zetu kuja kushindana mavazi kanisani ipo siku watatuua kwa ugwadu, leo sala yangu imeenda bure kwa kweli nikili tu nilikwenda kanisani kutembea na siyo kufanya ibada.
 
Utaambiwa unahukumu watu 😁😁,utaambiwa Mungu anaangalia nafsi .

Halafu ukisoma biblia utaona hekalu ni mwili wa mtu na kanisa ni watu.

Ina maama hekalu ya bwana halitakiwi kusitiriwa sio !?

Hitimisho hekalu ambao ni mwili wa mtu upo kiibada kwa nn watu wauchafue kwa kuvaa nusu uchi ....Kwa haraka kama mwili ni hekalu basi mwili huo masaa 24 utunze na uwe tayari kwa ibada pamoja na sala.
 
ewe falisayo Mungu anatizama roho. Mavazi mnatizama ninyi wenye imani isiyo lingana hata na punje ya haradali

NB. MUNGU HAKUMWUMBA MWANADAMU NA NGUO. KAMA UNAVYO MWONA PUNDA KITU KIKO NJE NJE NDIVYO ILIVYOKUWA.
 
Dooh Jamani kwa hiyo hata wakiingia uchi sawa TU.?
 
Utaambiwa unahukumu watu ,utaambiwa Mungu anaangalia nafsi .

Halafu ukisoma biblia utaona hekalu ni mwili wa mtu na kanisa ni watu.

Ina maama hekalu ya bwana halitakiwi kusitiriwa sio !?

Hitimisho hekalu ambao ni mwili wa mtu upo kiibada kwa nn watu wauchafue kwa kuvaa nusu uchi ....Kwa haraka kama mwili ni hekalu basi mwili huo masaa 24 utunze na uwe tayari kwa ibada pamoja na sala.
Kwa kweli ni ngumu mno hii kitu
 
NALIA NGWENA Leo nimefadhika sana Tena na mungu atanisamehe kwa hilo, nimeona ili nisiwe na poteza muda wangu ni Bora nisiende kanisani tu.

Ipo hivi, nimeona mavazi ya ajabu yaliyovaliwa leo kanisani mpaka nikajiuliza nipo kanisani au klabu Tena siyo kwa madada mmoja tu Bali nimeona kwa wadada tofauti kwa kweli nilifadhaika mno.

Imagine nguo imewamba imetaiti mwili na kijungu kimebinuka Kama mtungi wa gesi halafu mtoto wa kike yupo mbele anacheza kwaya kwa kweli nilijikuta nameza fundo la mate na mwazo yangu kwenda mbali kabisa.

Dooh, Fito yangu ndani ya boksa ilinyanyuka na kusimama vilivyo na kunipelekea kukosa amani kabisa, mwamba niliona ngoja niende walau toileti nikatafute njia mbadala nilifika toilet nilipiga push up walau kumi ili kutuliza munkali Wa Fito/Abdala kichwa wazi na kweli nilifanikiwa lakini Cha mtema kuni nilikiona maana nilifadhaika mno Tena mno.

Maoni Yangu: Viongozi wa kanisa msifuge huu upuuzi wa dada zetu kuja kushindana mavazi kanisani ipo siku watatuua kwa ugwadu , Leo sala yangu imeenda bure kwa kweli nikili tu nilikwenda kanisani kutembea na siyo kufanya ibada.
Kapicha tafadhari!!
 
naona kuna shida ya kiuwandishi ktk neno MUNGU ingependeza lisomeke kwa herufi kubwa NALIA NGWENA
 
Back
Top Bottom