Kuna mmoja nilimtokea kipindi Fulani akaleta pozi .
Sasa karudi mwenyewe kwa kasi ya 4g ooooh!!! I love u ohhhhh nioe oooh!!!! Sijui nini nikasema wacha nimsikilizie nione itakuwa coz sikuwa na stimu nae
Baaada ya wiki moja( naona alivumilia sana) nikasikia naomba 10000 nikaweke stiming nywele zangu zinakatika [emoji15] pumbavu sana
Nikamwambia sina na si kweli sikuwa nayo nilikuwa na madafu mengi sana wiki hiyo oooooh basi nipe buku tano ikabidi nimtungie sababu kwamba nimetoka kulipa kodi ya pango,michango ya harusi kibao na Nina mgonjwa akasema OK usiwaze .....[emoji3] tangu siku hiyo kapunguza chats hahahahaah pumbavu zenu mnaopenda pesa
Nishaamua kuwa dume suruali pesa yangu niliyoitolea jasho nitakula mwenyewe na MUNGU(sadaka) na washikaji zangu Wa ukweli mwanamke kuiona pesa yangu tena basi something like business venture in the making ......[emoji3] yaaani "unatoa kitu unapata kitu "Ila wewe uwe Wa kwanza kutoka kitu[emoji2]
Dedication: DUME SURUALI -MwanaFA[emoji12] [emoji13] [emoji14]