Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

we ndanganye mwenzio aje nimbarase
Acha kumtishia mwenzio weeye.

Ila nadhani trick yako humu jamvini inafanya kazi Kwa sababu nauhakika wanaume wengi waoga hata hawakusogelei. Wakiona hata komenti yako huscrol haraka Kama hawaioni
 
Usipate shida Mkuu.

Wengi wa wanaopenda pesa ni wanawake masikini mkuu.
Sijasema wote.

Wee nenda pale Ambiance, Mori, Mwananyamala, manzese, temeke, buguruni. N.k uje unambie wanaojiuza kwa sababu ya pesa ni asilimia ngapi ni masikini.
Ni zaidi ya 89% ya wanaojiuza ni kwaajili ya umasikini hayo mengine ni % chache
[emoji317] [emoji317]
 
hakuna mwanamke asiyependa pesa...hata kama ni dada yako

ndio maana viliumwa vyote wao wakawa wa mwisho means kazi yao ni kutumia si kutafuta
 
hakuna mwanamke asiyependa pesa...hata kama ni dada yako

ndio maana viliumwa vyote wao wakawa wa mwisho means kazi yao ni kutumia si kutafuta
Wapo wasiopenda mkuu.
Amini usiamini.

Kusema wanawake wote wanapenda pesa ni kuwadhalilisha.

Wapo wanawake ambao pamoja na umasikini wao wamezikataa pesa mingi tuu ili tuu wapate ajira.
 
Inaelekea we chapaa huna alafu kunadem umemzimikia kakupiga mzinga mkubwa sasa mapovu yake unatutolea sisi
 
Back
Top Bottom