Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

tafuta pesa basi uje unijengee mimi ghorofa ..
..siku hizi wanaume wanakujengea nyumba au kukununulia gari, lakini hati ya nyumba/kadi ya gari ipo kwake na majina yake.

..tafuteni kwa nguvu zenu, hatufurahi kuona dada zetu mkidhalilishwa kisa mali za kuhongwa.
 
mimi huo ujinga siyo sitaki namawambia akae na aendeshe hiyo gari kadi anipe mimi .. nataka kudhalilishwa mimi.. kuna mrembo mmoja alikamtwa kwa kesi ya wizi ya gari kisa alimpiga kibuti mpenzi wake ni fedheha
 
Ujuha utapewa vipi kitu bila kuwa udhibitisho kama chako mie nyumba sikai wala gari lake kama ananipa anipe lote lote mapenzi yenyewe haya akitoka tu hapo kwako kakutana na mwanamke anamtongoza balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom