Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Siku zote nasema,wanawake wote wanapenda hela,wote yani.
Ukimvalisha mbuzi nguo,kofia na miwani ukamuweka kwenye uskani wa gari then ukashusha kioo kidogo kila mwanamke atakayepita pale atampungia mkono yule mbuzi akijua ni mwanaume
 
Khaaaaaaa!!

Ngoja Miss Chagga aone hii
 
Sijui nisemeje unielewe,lakin hayo ni mapungufu na tunayakubali maana samaki 1 akioza......

*Sina maana ya kujitetea lkn kiuhalisia wakati mwingine munasababisha wenyewe,utakuta binti kaoga na kwakua umemtaman basi unapiga cm ya uongo ili akuone unazo nn unategemea kifuate?

*Umepanga kutoka na msichana huna hela na uwezo wako wa chini unakopa hela ili umpeleke sehemu ya juu nn unamjenga akilin kwake??

*Sawa umasikin wetu unatufanya tupende hela lkn kumbuka kuwa watoto wa kishua ndio wanaongoza sababu hawajazoea maisha ya ajabu (magum)na ili umuoneshe unaweza unajaa maden na lawama.

*kupenda kwetu hela kunategemea kwa mara ya 1 mtu umemuonesha haligani.

Nb;Sijakataa tuhuma hiyo naipokea mana ni wanadam wenye mapungufu.tuoneshen uhalisia wenu ili tiwapende mulivyo.
 
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom