Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Ahsante baba maana kawadharau watu wa hali ya chiniKutoa namba 2 zote naunga hoja
Ahsante baba maana kawadharau watu wa hali ya chiniKutoa namba 2 zote naunga hoja
Badilikeni tuanze kuwapa sifa nzuriLeo siku yetu embu toeni thread ata za kutu appreciate sio kila siku wanawake hv sijui vile ilimradi hamna zuri
Pressure ilikuwa ishanipanda nilikuwa naanza kutoka mapovuKutoa namba 2 zote naunga hoja
Kumtembelea mtu kosa! Ukienda unaandikiwa vitu km nusu mshahara wako! Ukienda Mara ya pili mshahara umeisha looooh! Ndo maana lawana kwetu haziishi.Wanaume hatujaliwa kukutamkia wazi lkn ikibidi kimbia fasterWao hawajuagi hayo Mkuu.
Wanasema haiwahusu
Imekuchoma kunako...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Baasi mie nikajua sifa za wanawake wote kumbe wa humu jf aiseee pole,wamekufanya nn wanawake wa humu??comments za watu mara nyingi hazina uhalisia na maisha yao halisi.
Sijamaliza gazeti lote mood ilikata baada ya kuona unatoa mifano kwa comments.
Judge me or do whatever,thread yako haina mantiki labda ungetafuta mtu akakusaidia kidogo kuweka ka uhalisia kwa maisha ya uraian zaidi kuliko comments za humu.
HAPPY WOMEN'S DAY
Ndio habari ya mjini mkuuNilidhani mchepuko wangu tu kumbe ni % kubwa
Hatari sana mkuuKumtembelea mtu kosa! Ukienda unaandikiwa vitu km nusu mshahara wako! Ukienda Mara ya pili mshahara umeisha looooh! Ndo maana lawana kwetu haziishi.Wanaume hatujaliwa kukutamkia wazi lkn ikibidi kimbia faster
Usipate shida Mkuu.Acheni mawazo hayo hao watoto wavigogo wanaojiuza wanatafuta nn acheni hizo sijapenda hiyo namba 2
Mkuu hao hawawezi kubadilika kwani wao ndio wanaoibadilisha duniaBadilikeni tuanze kuwapa sifa nzuri
Mkuu ukipenda pesa unakosa sifa ya mke mwema atokaye kwa Mungu.Sina sifa ata moja hapo!!! Kumbe mie si mpenda pesa!!!
Ahsante baba maana kawadharau watu wa hali ya chini
Ni kweli!!!Mkuu ukipenda pesa unakosa sifa ya mke mwema atokaye kwa Mungu.
Usije kuomba maana apendaye fedha hatashiba fedha ndio maana unaweza kumpa mwanamke hata milioni 10 na bado akataka zingine na zingine
Sa kuna watu naona mapovu yanawatoka chaaaaaaaa!!Ni kweli!!!
Nami nakuunga mkono sio wote wanaopenda pesa wanatoka ktk familia za kimasikiniKutoa namba 2 zote naunga hoja
We mwenyewe unazipenda ndio maana unazipigia kelele humu.Wengi ni masikini japo sio wote