Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Nilitaka kununua moja la kushindia na joto hili linalokuja, lakini nimeghairi mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi nnayo ya kuvaa kwenye misiba tu!
Mana misibani siku hizi sare dera...!!
Ila kuvaa km vazi la kutokea hapana!