Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Wasukuma utawajua tu,sasa wake zetu huku tanga waanze kuvaa kama wanawake wa huko mwakuhenga?huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu akakusapoti kwenye huu upuuzi wako,halafu tulitakiwa tulalamike sisi waume zao sio nyinyi wakuja,hebu rudi kwenu usichafue miji ya watu kwa kunuka mdomo kama panya kafia humo,mkazi wa sengerema wewe,haiwezekani ututukanie wake na mama zetu kwa mavazi yao wayapendayo,unataka wavae vimini?au watembee na magunia kama wanawake wa huko kwenu?