Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shenzy weweeeee!!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haha haha ka ukwel kapo enhee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nyauuu weeee!![emoji123]
Haha ha ha ha ha una haki ya kua na mawil tu
 
Waswahili/wazaramo ndio wenye mji wa dar es salaam,kama hupendi tamaduni zao,Rudi kwenu ulikotoka.
Madada zao huko mikoani mavazi yao ukiyaona utashangaa binadamu anavaaje nguo moja wiki mzima.
article-0-02F5B49200000578-782_468x331.jpg
 
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.

12. Kitandani wengi wako poa.
Naichukua no. 12 nikaifanyie utafiti
[emoji124] [emoji124]
 
Naona huruma sana kw ndugu zangu wa Africa na huenda kufikiwa na maendleo endelevu ikaendlea kuwa km ndoto ya mchana tu baada ya mda mliokwisha upoteza bado mnaendlea kuupoteza na mwengne oh natamani HATA kulia aisee poleni
Hizi ndio akili zetu bana Waafrika zilipo ishia
 
Tatizo umekuja mjini kuanzia 2010,hujui akina nani wameutoa ustaarabu......
 
Hizi ndio akili zetu bana Waafrika zilipo ishia
Hivi wewe na ulitemquote unafikiri kwa nini waanzilishi wa social media mfano jf wameweka majukwaa tofauti ya kujadili mambo mbali mbali??
Afrika kweli tuna safari ndefu, tunashindwa tofautisha na kujua kazi ya kila kitu ni nini.
 
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea
Mkuu mbona nahis kama unawakosea
Mana navyojua mm wavaa madera ni wale wenye maadili coz asilimia kubwa hawapendi maungo yao yaonekane
I mean body structure
 
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea
Haahaahaa kama kweli vile
 
Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.
Zats true

Alafu nachukiaga mtu anaposema amefanya research yake zen anasema amepata majibu

Kwa sababu research ni scientific method na ina-procedures zake za kifatwa
 
uwongo..
mimi napenda kuvaa madera, tena vijora
na sio mmbea au mkaa vibarazani
wala siombi hovyo..
nna ustaarabu wangu, ila dera nimeliona kama vazi la kistaarabu na nmelipenda linanipa amani hata nikitembea...
 
tunavaa madera kwa mapenzi yetu tu..
na tunaona yanatupendeza..
maji kila mtu anakunywa mjini hapa kwanzia oysterbay mpaka mbagala..
taarab lazima nipende kwa 7bu mtoto wa mwambao..
ila tunaovaa wengi wa mwambao.
na yanatupendeza hasa ukilivaa na ukawa classic, maji umekunywa kidogo tu
handbag safi
kiatuchako safi
nywele umebana safi
makeup sio wote hawajui kupaka wengine tumesomea kabisa

ukitoka hata huyo wa oysterbay hatii mguu na vibukta vyake vilivyochanwa

wa masaki MTUPISHE!!![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom