Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea
Wana miguu myembamba, pili hawapendi kunyoa makwapa, hawapendi kuoga, au kujipodoa.
 
kha!!! umetumwaaaaa. nina majirani zqngu wengi hapa wote wavaa madera yaani tabia hizo hujakosea ni true. ila raha sana pale wakigombanaga group lao linasambaa kila mtu anaenda kusambaza umbea wote wanaousemaga bila kuacha salio. pia ni hatari kama unakaa nao nyumba za kupanga utalia sana na wakati kodi' malazi' chakula unajilipia mwenyewe.
 
Madela pia usisahau ni moja kati ya nguo ambazo akna mama wetu huku uswahilini ndo hupenda kufanya kama ndo sare ya shughuli!!
 
Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.
Povuuuuuuuuu sana. Yaani nikishamuona dem kavaa dera hata kama ilikua imesimama inanywea sekunde. Sipendi mwanamke wa kiswahili hata siku moja niko radhi nimpige risasi nikiruhusiwa.
 
Dah, weekend zina mambo! Ni kama vile threads za weekend watu wanazianzisha baada ya kupata yale mambo ya kwenye stuli ndefu.

Vv
 
Mtoa mada na wanaoshabikia uzi wote akili zenu sawa.. Haiwezi uka stereotype watu wote wanaovaa hivo wanatabia hizo. Ni sahihi mi nikisema mna akili sawa na njiwa. Nawajua wengi wanaovaa vazi ilo na hawana ata chembe ya hayo mliosema. Wazazibwenu pia wanazivaa! Je nao wanatabia hizo. Tafakari kabla hujaleta utumbo wako huku
 
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba.
Hapo kwenye ustarabu hapo mmmmm ebu tupe ufafanuzi kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom