Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,391
- 1,911
Wana chura kubwa
hebu nione ndembe ndembe yakoNavaa sana madera ila sijui kama nina hizo sifa
Hata research ya maleria hufanyika maeneo yenye mbu wengi huwezi kwenda zanzibar wakati unajua fika maleria zanzibar hayapoYaaani ...ndo maana nimemwambia research yake ni kwa mtogole. Maana anataka kulazimisha ufanano wa tabia za majirani zake na za watu tuliostaarabika..damn it!
Demu inatokana na neno la kiingereza "Dame" ambalo ni sawa na "Lady". Tatizo ni kwamba msamiati wa demu/mademu kwa kiswahili ni sawa na tusi kubwa linaloonesha binti fulani hana adabu, malaya nk.Kuna umuhimu wa kuwa na kamusi ya maneno ya mtaani. Sidhani kama mama au mke wako katika category ya "mademu" kwenye huu muktadha. Angesema "wanawake", then hapo sawa.
Kimsingi, "mademu" wana tabia nyingi zilizokosa ustaarabu. Ningependa kusikia mchango wa Miss Natafuta.
Rudia uzi wake uusome vizuri. Hajasema wote. Kasema asilimia kubwa. Au hujui nini maana ya neno asilimia?Mtoa mada na wanaoshabikia uzi wote akili zenu sawa.. Haiwezi uka stereotype watu wote wanaovaa hivo wanatabia hizo. Ni sahihi mi nikisema mna akili sawa na njiwa. Nawajua wengi wanaovaa vazi ilo na hawana ata chembe ya hayo mliosema. Wazazibwenu pia wanazivaa! Je nao wanatabia hizo. Tafakari kabla hujaleta utumbo wako huku
Demu inatokana na neno la kiingereza "Dame" ambalo ni sawa na "Lady". Tatizo ni kwamba msamiati wa demu/mademu kwa kiswahili ni sawa na tusi kubwa linaloonesha binti fulani hana adabu, malaya nk.
Waswahili/wazaramo ndio wenye mji wa dar es salaam,kama hupendi tamaduni zao,Rudi kwenu ulikotoka.Huko chanika si ndo uswahilini/ uzaramoni huko
Singeri ndo nini mkuu?Wanapenda sana singeri
Mkuu misamiati mingi inaanziaga vijiweni, wanamuziki wanaiibua na watu wanaisikiliza kupitia sanaa. Dame/demu ni sawa na teacher/ticha. Ticha inaonekana ni jina la kihuni wakati teacher ni heshima.Asante kwa mchanganuo, tho nilikuwa nafahamu tayari.
Sidhani kama hiyo maana ya kiswahili uliyoitoa hapo ni ya kweli. Demu sio neno la kistaarabu sana, ila kamwe halina maana mbaya hivyo.
Kama wa twaweza[emoji115]Huu utafiti au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa na mpango wa kununua moja, lakini baada ya uzi huu nimeghairi.
Labda ndugu zake wa kike hawavai hayo maderaKama wa twaweza[emoji115]
Mkuu misamiati mingi inaanziaga vijiweni, wanamuziki wanaiibua na watu wanaisikiliza kupitia sanaa. Dame/demu ni sawa na teacher/ticha. Ticha inaonekana ni jina la kihuni wakati teacher ni heshima.
Kama utafiti wa twaweza tumeukubali kwa nini na huu tusiukubali au na wewe fanya wako utafiti upingwa kwa utafitiMtoa mada na wanaoshabikia uzi wote akili zenu sawa.. Haiwezi uka stereotype watu wote wanaovaa hivo wanatabia hizo. Ni sahihi mi nikisema mna akili sawa na njiwa. Nawajua wengi wanaovaa vazi ilo na hawana ata chembe ya hayo mliosema. Wazazibwenu pia wanazivaa! Je nao wanatabia hizo. Tafakari kabla hujaleta utumbo wako huku