Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Bado kimoja wana mabwana wengi hawawez kudumu mwanaume mmoja bila kuwa na timu wanaona maisha haya end.
 
Bila shaka wewe ni wamajita.maana wanaume wa huko ndo nawasikia na hzo slogan.kwa hyo wataka tuvae suti?
 
mademu wanaovaa madera wengi wao wana makalio makubwa
Raha ya dela nyama..!
1474172056415.png
 
Vaz na tabia ya mtu ni kama ardhi na mbingu...! Sikubaliani na utafit wako huu....dera ni vazi lenye staha sana. Pengine ulipaswa kusema watu wa maeneo flan wanatabia flan flan badala ya kulekeza nguvu zako kwenye vaz kama vazi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.

12. Kitandani wengi wako poa.
Hahahahah kweli kabisa ujakosea
 
Sio kweli kwamba wote wavaao wana tabia hizo.

Dera zinavaliwa hata na mama zetu huku bara na zipo kiheshima kabisa
 
Kuna umuhimu wa kuwa na kamusi ya maneno ya mtaani. Sidhani kama mama au mke wako katika category ya "mademu" kwenye huu muktadha. Angesema "wanawake", then hapo sawa.

Kimsingi, "mademu" wana tabia nyingi zilizokosa ustaarabu. Ningependa kusikia mchango wa Miss Natafuta.
 
Wewe utakua hujamuelewa.. unaelewa maana ya utafiti? Ina maana alchukua sampo Na yeye hajasema wote ispokua n wengi wao...
Kajolijo ili dunia isonge mbele ni lazima wawepo watu sampuli za kina bigboy74 ukimjibu hili atakwambia mboa acknowledgement haipo
 
alafu ule mtindo wa kuchomeka dela kwenye chupi huwa siupendi bas tu wananichefuaga
Siku hizi hawachomeki kwenye pichu ila wanaivutia kwa mbele ili chura aonekane vizuri si unajua hawavai pichu kwani pichu inapunguza mtetemo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom