Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Mbona ni vazi zuri la kujistiri kwa mwanamke. Hivi mnataka wavae nini? Wenyewe ni vazi lao na wamelipenda. Kuna wastaarabu wengi wanavaa hilo vazi na kuwapendeza vizuri sana.
 
Mbona ni vazi zuri la kujistiri kwa mwanamke. Hivi mnataka wavae nini? Wenyewe ni vazi lao na wamelipenda. Kuna wastaarabu wengi wanavaa hilo vazi na kuwapendeza vizuri sana.
 
Mtoa mada na wanaoshabikia uzi wote akili zenu sawa.. Haiwezi uka stereotype watu wote wanaovaa hivo wanatabia hizo. Ni sahihi mi nikisema mna akili sawa na njiwa. Nawajua wengi wanaovaa vazi ilo na hawana ata chembe ya hayo mliosema. Wazazibwenu pia wanazivaa! Je nao wanatabia hizo. Tafakari kabla hujaleta utumbo wako huku
Kaa nao kwenye nyumba za kuoanga. Utanuonea.
 
Tatizo umefanya research ndogo. Huwa sikubali mambo ya research ndogo mpaka kubwa zithibitishe.

Fanya kubwa halafu rudi na matokeo.

Usisahau kuweka hivi.

1. Methodology
2. Sample space
3. Margin of error
4. Publication
5. Peer review
6. Control group
7. Causation/ correlation factors
8.Reproducibility
9. Data integrity
10.Reversibility

Fanya hiyo kubwa halafu urudi hapa na yote hayo juu.
We mzee unatuchosha sasa.. Hayo yote kwani mtoa mada anafanya research ya kupata phd?
 
Na ni wasusi wa nywele za kichwani wenye utalaam wa hali ya juu. Sijapata kuona kabisa.
Nina msusi wangu pale Mwananyamala shule. Hapana chezeya dada Swaumu ana kipaji cha pekee.
 
Zats true

Alafu nachukiaga mtu anaposema amefanya research yake zen anasema amepata majibu

Kwa sababu research ni scientific method na ina-procedures zake za kifatwa

Sema wewe ndugu,maana hicho anachokiita ni research wala sio research bali ni umbea huo huo anaowashutumu nao hao wavaa madela,kwa kuwa ni akili ndogo mtu
Zats true

Alafu nachukiaga mtu anaposema amefanya research yake zen anasema amepata majibu

Kwa sababu research ni scientific method na ina-procedures zake za kifatwa

Huyu ni mmbea tu sema kaubadilisha jina na kuuita utafiti,hakuna cha utafiti wala nini bali ndio tabia yake kufatilia maisha ya watu na anajisahau tabia ya mtu hajalishi unavaa suti au kanzu.

Halafu anakuja hapa anadai kafanya utafiti bila kutaja ni methodology ipi ameitumia katika huo utafiti wake,Ni pure yu akili ndogo inayojadili watu na kuacha kujadili ishu.
 
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.

12. Kitandani wengi wako poa.
_Nakubaliana na we mm mwenyew nshafanya utafiti wa hao wadada wapenda kuvaa madela nimewasoma sifa. ndo hzoo hzooo!_
 
Naona kakugusa pabaya, mbona umewaka hivyo, na wewe mtinga Derah nini na mitaa ya kigodoro?! Pole
Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.
 
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea

wengi niliowadinya wanapenda kugongwa kamtandao kutokana na mkao wenyewe
 
Naona kakugusa pabaya, mbona umewaka hivyo, na wewe mtinga Derah nini na mitaa ya kigodoro?! Pole

Ndio amenigusa,kwa sababu nashangaa kuona nguvu kazi ya taifa inaacha kujadili ishu za maana na kupoteza muda kujadili ishu zisizo na maana kisa tu eti kuna watu wanavaa nguo za aina fulani eti wanakua na tabia fulani ambazo hata yeye mleta mada kwa kuangalia tu mada aliyoleta inamuonyesha dhahiri ana tabia hizo,hata kama havai dera lakini anaangukia katika tabia hizo hizo anazosema ni za watu wanaovaa nguo za aina fulani,halafu kibaya zaidi kuna watu kama wewe unawasapoti watu hao na kuona kana kwamba ameleta ishu ya maana sana na inayohitaji kujadiliwa kwenye jukwaa la great thinker.

Nimeguswa kwa hilo tu,usihukumu kitu kwa kukitazama.
 
Sio kweli kwamba wote wavaao wana tabia hizo.

Dera zinavaliwa hata na mama zetu huku bara na zipo kiheshima kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe na wewe unajua kuwa kujumlisha watu wote kwa kutumia watu wachache si poa eeh!!?

Hatari.
 
Siku hizi hawachomeki kwenye pichu ila wanaivutia kwa mbele ili chura aonekane vizuri si unajua hawavai pichu kwani pichu inapunguza mtetemo!
Hahaha
Mkuu nime uelewa uchambuzi wako
 
Ndicho ulichokariri chuoni miaka yote hiyo? Kwahiyo na waliosema wa tz ni nyumbu walitumia hizo? Hapo katoa mtazamo wake na hujampa fund afanye hiyo research in a profesional way. Sipendi watu wanaojiona superior ku criticize wenzao. Inamaana kama mtoa mada hakusoma kama wewe hana ruhusa ya kutoa mada ya utafiti wake?
Umeandika "Waliosema Wa TZ ni nyumbu", hujatumia neon "research".

Ukitaka kufananisha vitu, fananisha vinavyofanana.

Labda hao waliosema Wa TZ ni nyumbu walikutana na wa TZ nyumbu kama wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom