Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.
We mbona ndo mjingaaa hujui hii INA faida kutambua tabia za wahusika eneo fulan katk Tanzania yetu japo sio weng ila kwa kiasi kikubwa wapo hivoo usidhan kila Mara watu wanahitajika kuongelea fedha haya ni mambo ya msing sana katk maisha hususan kwa wanaoelekea maisha ya ndoaaa!! So stop intrigued others for ur poor thinking capacity its better to argue but make it with facts!!!
 
Tusifukuzane jamani [emoji1]
Unajua uzuri wa watanzania ni sababu tunaheshimiana mila na desturi zetu na pale tunapokuwa hatuelewani kila mtu anapita kwake, ndio maana nyerere alipendwa na kuthaminiwa na watu wa dar na yeye alijua yupo viwanja vingine akaendana na wakati.kudhalilishana sababu umepata hela ya vocha kuingia mtandaoni sio vizuri.
Na kama umeenda sehemu ukaona hupendi kinachoendelea pale au unaona kila kitu kinyume mbele,Go back where you belong! As simple as that.Sina maana kufukuzana,ila ni kuwa inabidi kila mtu aiishi maisha yake kwa amani.
Peace!
 
Wee bwabwa acha kuishi kwa kukariri na kudhani kila kitu katika maisha ya kawaida kinaenda kama ulivyo kariri huko kwenye vitabu. Kipusa mkubwa
Naionesha jamiiforum nzima mtu anavyonitukana kwa sababu tu hajakubaliana na maoni yangu.

Kutukana huku ni dalili ya kukosa kuweza kujieleza kwa lugha fasaha.

Bwana wako kasema kafanya research wakati anatuletea pumba tu hapa za kunyanyapaa kinadada.

Wewe unamtetea bila hata kumuuliza hiyo research kafanyaje.Unamparatia.

Nani bwabwa hapo?
 
Nilikuwa na mpango wa kununua moja, lakini baada ya uzi huu nimeghairi.
Nunua usiogope, aliyetoa mawazo hayo ni mawazo yake tu.Yawezekana kampani yake kubwa wako hivyo so kafikiri wote wako hivyo kumbe sivyo. Kwa utafiti wangu wengi wanaovaa hivyo wako na tabia nzuri. Wapo wengine wanavaa nusu uchi, hao nao vipi? Usiogope
 
Huyu jamaa inaonekana kapigwa kibuti na demu anayependa kuvaa hivyo, kaja hapa kumalizia hasira zake.
 
uwongo..
mimi napenda kuvaa madera, tena vijora
na sio mmbea au mkaa vibarazani
wala siombi hovyo..
nna ustaarabu wangu, ila dera nimeliona kama vazi la kistaarabu na nmelipenda linanipa amani hata nikitembea...
Natabiri utakuwa hupendi kuvaa chupi wewe..!
 
Naionesha jamiiforum nzima mtu anavyonitukana kwa sababu tu hajakubaliana na maoni yangu.

Kutukana huku ni dalili y kukosa kuweza kujieleza kwa lugha fasaha.

Bwana wako kasema kafanya research wakati anatuletea pumba tu hapa za kunyanyapaa kinadada.

Wewe unamtetea bila hata kumuuliza hiyo research kafanyaje.Unamparatia.

Nani bwabwa hapo?
Hahaaa! Kiranga at his best.
 
uwongo..
mimi napenda kuvaa madera, tena vijora
na sio mmbea au mkaa vibarazani
wala siombi hovyo..
nna ustaarabu wangu, ila dera nimeliona kama vazi la kistaarabu na nmelipenda linanipa amani hata nikitembea...
Huyu jamaa inaonekana kapigwa kibuti na demu anayependa kuvaa hivyo, kaja hapa kumalizia hasira zake.

Analeta unyanyapaa wake hapa, anauita research.

Kama anataka kufanya research nimempa vigezo juu aanze navyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli...

atuacheee
 
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!u

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.

12. Kitandani wengi wako poa.

Barafuyamoto
100% correct.

Nimeishi Tanga, Dsm, Shinyanga, Tabora ...lakin hiyo No-8 kote huko nimeyana hayo

sasa hivi noomaaa

Mpaka huku kwetu Mbeya tumeingiliwa na wakujichuna/kujichubua...kibaya zaidi mbeya kuna nyongeza...Wanaota na NDEVU
 
We mbona ndo mjingaaa hujui hii INA faida kutambua tabia za wahusika eneo fulan katk Tanzania yetu japo sio weng ila kwa kiasi kikubwa wapo hivoo usidhan kila Mara watu wanahitajika kuongelea fedha haya ni mambo ya msing sana katk maisha hususan kwa wanaoelekea maisha ya ndoaaa!! So stop intrigued others for ur poor thinking capacity its better to argue but make it with facts!!!

Sasa wewe kuna fact gani uliyoiweka kutoka kwenye huu udaku? au udaku siku hizi ndio umegeuza kuwa fact?halafu unazungumza suala la kuoa,suala la kuoa ni suala la maelewano baina ya anaeoa na anayeolewa,kama unataka kuoa mvaa vimini hio ni juu yakoa au unataka mvaa skin jeans ni juu yako pia,Ndugu maisha ya kuchimbana na kufuatiliana fulani kavaa nini,au anamzungumzia nani siyo yenyewe,Mind your own business,Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe ,Wee umekutana nao mjini basi acha mambo yaende kimjini mjini,kama ni tabia yako kufatilia watu na maisha yao acha sio tabia poa,kwa faida yako mimi nilishaishi na jamii ya watu ambao watu wadaku kama wewe huwa wanawasema kuwa ni watu wanye tabia mbaya na siyo jamii nzuri kuishi nao ilani wenyewe kwa wenyewe lakini niliishi nao kwa miaka isiyopungiua 3 bila kukwaruzana nao,ukiniuliiza kwa nini ? Jibu ni kwamba nilimind my own business.So my last advice to you My Young brother is MIND YOUR OWN BUSINESS,CAUSE SOMEONE BUSINESS IS NON YOUR CONCERN,So once you embrace this piece of advice you will live very happy and satisfying life. Mchana mwema.
 
Madera mengi (almost yote) yanavaliwa na watu wa pwani (Dsm, Tanga, Z'bar ndo sana) na yalikuja kureplace baibui ingawa bado yanavaliwa. Na wengi wanaovaa madera ni waislamu, kwa watu wa pwani dera ni vazi la heshima linalositiri sehemu kubwa ya maungo ya mwanamke.
 
Huyu jamaa nimkweli basi tu hatutaki kuambiwa ukweli

kujichubuwa - kweli

umbeya - kweli

makelele na mipasho - kweli

wakaa vibarazani - kweli

Wasio na aibu - kweli

nk
 
Itakuwa umepatwa na matusi yao au umewagegeda sana
 
Barafuyamoto
100% correct.

Nimeishi Tanga, Dsm, Shinyanga, Tabora ...lakin hiyo No-8 kote huko nimeyana hayo

sasa hivi noomaaa

Mpaka huku kwetu Mbeya tumeingiliwa na wakujichuna/kujichubua...kibaya zaidi mbeya kuna nyongeza...Wanaota na NDEVU
Duh, ndevu?? Hivi ni geography inasababisha ndevu au ndo asili ya wanawake wanyakyusa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom