Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
I never knew that the origins of demu is dame.Still, demu haina maana mbaya. Hiyo ticha vs teacher zinatamkwa tofauti?
I never knew that the origins of demu is dame.Still, demu haina maana mbaya. Hiyo ticha vs teacher zinatamkwa tofauti?
Huoni kwa upande mwingine anakemea maovu na tabia zisizokuwa na maadili na ujinga mwingine kama huo, huoni tabia kama hizo zinapoteza tija ya nguvu kazi ya taifa?! Mimi nimemuelewa hivyo, anakemea vitendo vya kihuni katika jamii, wala hajamjadili mtu kama unavyotaka kutuaminisha bali kafanya utafitu wake kuhusu swala hilo, jamani akija mwanajamvi mwingine na utafiti wake kuhusu mwenendo wa wasanii au ajira kwa vijana bado utasema anajadili watu?! Hebu wacha hizo, kama na wewe una tabia hizo wacha kabisa.Ndio amenigusa,kwa sababu nashangaa kuona nguvu kazi ya taifa inaacha kujadili ishu za maana na kupoteza muda kujadili ishu zisizo na maana kisa tu eti kuna watu wanavaa nguo za aina fulani eti wanakua na tabia fulani ambazo hata yeye mleta mada kwa kuangalia tu mada aliyoleta inamuonyesha dhahiri ana tabia hizo,hata kama havai dera lakini anaangukia katika tabia hizo hizo anazosema ni za watu wanaovaa nguo za aina fulani,halafu kibaya zaidi kuna watu kama wewe unawasapoti watu hao na kuona kana kwamba ameleta ishu ya maana sana na inayohitaji kujadiliwa kwenye jukwaa la great thinker.
Nimeguswa kwa hilo tu,usihukumu kitu kwa kukitazama.
Duh, ndevu?? Hivi ni geography inasababisha ndevu au ndo asili ya wanawake wanyakyusa??
Ulikuwa jela since 1991??Madera ni nini? Picha please!
I never knew that the origins of demu is dame.
Huoni kwa upande mwingine anakemea maovu na tabia zisizokuwa na maadili na ujinga mwingine kama huo, huoni tabia kama hizo zinapoteza tija ya nguvu kazi ya taifa?! Mimi nimemuelewa hivyo, anakemea vitendo vya kihuni katika jamii, wala hajamjadili mtu kama unavyotaka kutuaminisha bali kafanya utafitu wake kuhusu swala hilo, jamani akija mwanajamvi mwingine na utafiti wake kuhusu mwenendo wa wasanii au ajira kwa vijana bado utasema anajadili watu?! Hebu wacha hizo, kama na wewe una tabia hizo wacha kabisa.
Yes it does, doesn't it?Can't confirm, but it makes sense.
[emoji115] [emoji23] ndo tabia zao.Njoo kama unajua hamna wazazi hapo karibu poa
Tena hii hizi thread zinasaidia sana kufanya maamuzi coz watu wengi wanasoma hivyo wanachukua tahadhari wakikutana na demu wa aina hii au nyingineHuoni kwa upande mwingine anakemea maovu na tabia zisizokuwa na maadili na ujinga mwingine kama huo, huoni tabia kama hizo zinapoteza tija ya nguvu kazi ya taifa?! Mimi nimemuelewa hivyo, anakemea vitendo vya kihuni katika jamii, wala hajamjadili mtu kama unavyotaka kutuaminisha bali kafanya utafitu wake kuhusu swala hilo, jamani akija mwanajamvi mwingine na utafiti wake kuhusu mwenendo wa wasanii au ajira kwa vijana bado utasema anajadili watu?! Hebu wacha hizo, kama na wewe una tabia hizo wacha kabisa.
Hivi kabisa wee na akili yako umekaa na ukakubaliana na haya eti ni utafiti,katumia njia ipi ya utafiti kubaini haya? na utafiti wake ulihusisha watu wa jamii ipi na wangapi?huu si utafiti bali ni fikra zake na mtazamo wake dhidi ya hao wavaa madera ndo ameziita utafiti ,kwani ni rahisi kusema kuliko kutenda,kwani hata mimi kama fikra zangu zinaniambia watu wanaovaa migolole ni wachawi halafu hizi fikra zangu zikapata sapoti ya watu wawili watatu ambao huwa wanavaa migolole na wana tabia za uchawi haiwezi kuwa ndio tabia za watu wote wavaao migolole,fahamu Nguo au mavazi siyo tabia,unaweza kuvaa suti na ukawa mwizi au tapeli.
Kaza kichwa sasa maana unaonekana unalalamika kwa unachohis kuwa unakijua kumbe holaaSasa wewe kuna fact gani uliyoiweka kutoka kwenye huu udaku? au udaku siku hizi ndio umegeuza kuwa fact?halafu unazungumza suala la kuoa,suala la kuoa ni suala la maelewano baina ya anaeoa na anayeolewa,kama unataka kuoa mvaa vimini hio ni juu yakoa au unataka mvaa skin jeans ni juu yako pia,Ndugu maisha ya kuchimbana na kufuatiliana fulani kavaa nini,au anamzungumzia nani siyo yenyewe,Mind your own business,Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe ,Wee umekutana nao mjini basi acha mambo yaende kimjini mjini,kama ni tabia yako kufatilia watu na maisha yao acha sio tabia poa,kwa faida yako mimi nilishaishi na jamii ya watu ambao watu wadaku kama wewe huwa wanawasema kuwa ni watu wanye tabia mbaya na siyo jamii nzuri kuishi nao ilani wenyewe kwa wenyewe lakini niliishi nao kwa miaka isiyopungiua 3 bila kukwaruzana nao,ukiniuliiza kwa nini ? Jibu ni kwamba nilimind my own business.So my last advice to you My Young brother is MIND YOUR OWN BUSINESS,CAUSE SOMEONE BUSINESS IS NON YOUR CONCERN,So once you embrace this piece of advice you will live very happy and satisfying life. Mchana mwema.
Eeh! makubwa haya, yaani kutokubaliana na hoja zako imeshakua ni munkari tena,ushauri wangu kwako na mtu mwenye tabia kama zako ni MIND YOUR OWN BUSINESSkwani itakuweka huru na mwenye Amani saa zote na siku zote,hii habari fulani kavaa nini sijui,au fulani mwenye kuvaa nini anakua na nini sio mpango,wewe shughulika na kitu vile kinavyokuja kwako positively and attentively jibu utalipata murua kabisa,hii habari za udaku waachie Global Publishers.Kaka utafiti sio rocket science, na mimi ni nani kumkatalia kwamba hajafanya utafiti wakati wala simjui, mie nimempa benefit of dout based on his conclusions na tafakuri yangu kuhusu mada yake, kuna kitu cha kutafakari kama jamii pana pale badala ya kupandisha munkari kama kakutukania mke au mama mzazi! You can not dismiss it out of hand. Shusha munkari ndugu yangu