Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

nyie ndo wale wafupi BREAKING NEWS ikitokea mpka kukufikia uko chini nakuwa BROKEN NEWS


wapenzi wote niliowai kuwa nao wafupi asilimia kubwa. nivikorofi vinapenda kushindana akisema kitu anataka kisibadilika.

nawezana nao ata mke wangu ni mfupi
nimecheka sana
 
Wanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusi na mfupi

Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusi nani atam-beba?

Acheni kujifanya,
Asanteeeeeeeee
 
Umebadili gia naona

Mi sina sifa yao nzuri hata moja, hata ya kinafiki sina ni viumbe nisio na mzuka nao,,
usimfatishe huyoooo...Hapindui kwenye hizo Rangi 🤣 🤣
 
Mie wananiboa kwenye unyanya nyanya jaman...khaa..wee kibulb kikipasuka ashakimbilia nje...akichomwa ka mwiba shoga utasumbuliwa ww.....week zima mwekundu...acheni hizo

Umenikumbusha Kaka mmoja aliwahi shikwa na jipu sikioni ndani,akaja kugundua baadaye kama Ni jipu
Alilia Sana,sikio lote lilikua jekundu maana Ni mweupe halafu akawa anajiongezea Tena dah
 
Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.

ITAENDELEA toleo lijalo.....
Number tano umechemka hasa kwa hilo la kujichubua.wanao ongoza kwa kujichubua ni wanaume weupe na wanawake weupe sasa unajiuliza huyu mtu anataka nini?mbona ni mweupe tu?
 
Number tano umechemka hasa kwa hilo la kujichubua.wanao ongoza kwa kujichubua ni wanaume weupe na wanawake weupe sasa unajiuliza huyu mtu anataka nini?mbona ni mweupe tu?
sio kweli...angalia wanaojichubua weusi na weupe wapi wanaojichubua zaidi? katk 10 utakutana na weupe wanajichubua wa 3 ila weusi utakutana nao 7 wanajichubua
 
13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.


ITAENDELEA.........
14--20 = Wanaume weupe hufanya mambo taratibu na yana busara zaidi huwa hatupendi kukurupuka.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom