Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.


ITAENDELEA.........
Hahaha
 
Nawashangaaga sana mnavyomponda da prince!!! Yule ndiye mwanaume naemzungumzia hapa sasa ndo vile mdogo tu ila yule ndo dume cheusi mangala rangi adimu,, yale macho meupeeee na midomo yake,,, mwanaume mweusi mtamu sana unaweza mtafuna mzima mzima
ila barakah mzuri lakini kama wale wachache.. Na yule inabidi azae na mwanamke cheupe kama najma ...
 
Yaani wewe shida yako ni watoto watatokaje!!!
Iko hivi naweza mzalia hamorapa lakini sio bob junior!!
ila barakah mzuri lakini kama wale wachache.. Na yule inabidi azae na mwanamke cheupe kama najma ...
 
Ana height nzuri bwana...
Madee sio mrefu ila kampita
A%2B%20Gallery_18.jpeg
 
Ana height nzuri bwana...
Huyu ni ke au me!! Km ni me mweupe, ye aendelee kupata tabu sana

Height ya da prince ni wastani inafaa sana hasa ukitegemea sie wanawake wengi vimo vyetu ni shotiiiii japo mi naweza kulingana na da prince
 
Mi nimekwambia wanaume weusi wanatuvutia wanawake wengi tu we umekomaa na kubisha,,, kesho bandika uzi km huu wa kusifia wanaume weusi uone sifa zao zitavyomwagika maana nilizokutajia hapo hata robo hazifiki
aise nachati kama ke dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom