sifa za wanaume wenye vitambi

Daaah vitambi vingine ni vya asili na hakuna kibamia mashine standard na mtu aki under estimate huishia kujuta kuwafahamu baada ya game
 

kumbee hizi saloon za wanamama kazi yao ni kupika majungu tu.nyambafu
 
Kuna mahali niliona wawasifia kuwa ni watamu wanajituma...
si ndo hao wawili katika kumi? hadi uwapate sasa sio leo?pia sikusema wanajua kujituma nilisema watamu...ujue kuna mtu anajituma lakini ladha hakuna mwingine utulivu ila result big big u know what am saying meeen!
 

khaaaaaa thats why I hate my obesity..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…