Yani kwenye hili La kuomba msamaha mhhNa hapo ndipo wanapokosea. Ila twendw nao taratibu huenda wakaja kulitambua hilo kwamba kwenye mahusiano kuna kuombana misamaha na pia kuna kujishusha hasa pale mmoja akoseapo.
Hahaaaa. Wacha weeeee.Mwanaume wa kweli lazima awe na mwanamke zaidi ya mmoja [emoji12] [emoji125]
Aisee basi tusiokua na mbolea tutafanya mambo ya yule jamaa aliofanya kwenye ndege mpaka tukome...Siwafundishi tabia mbaya rafiki. Huo ndio ukweli mahusiano mazuri ni yale ya kujaliana hasa mwanaume amjali mwanamke katika mahitaji yake mbalimbali.
Sasa rafiki unataka mahusiano yasiyo na mbolea kusaidiana ndio mbolea yenyewe hiyo rafiki. [emoji12][emoji12]
Wanaboa mnoo yani inafika wakati unazoea Tabia yake unaliacha tu moyo utavuja damu utaacha,,baadae likikosea hata hulisemeshi,,atajishtukia tuSamahani, swali la nje ya mada,umewahi kua na mtu wa aina hiyo??? Uliweza kwenda naye taratibu na kwa umbali gani hasa? Nawaza hapa mtu anakukosea haombi msamaha anajisahaulisha unaenda naye tu moyoni unajisikiaje?? Halaf bora ashtuke amefanya mistake habari hapati unafanyaje???
Hahaha si ndo wenyew wanasemaga hvi mkuu mim nmewaiga chaaaHahaaaa. Wacha weeeee.
Hapana mwaya sijawahi kumbana na wenye adha hiyo.Samahani, swali la nje ya mada,umewahi kua na mtu wa aina hiyo??? Uliweza kwenda naye taratibu na kwa umbali gani hasa? Nawaza hapa mtu anakukosea haombi msamaha anajisahaulisha unaenda naye tu moyoni unajisikiaje?? Halaf bora ashtuke amefanya mistake habari hapati unafanyaje???
Hahaaaaaa. Wacheni hizo rafiki.Aisee basi tusiokua na mbolea tutafanya mambo ya yule jamaa aliofanya kwenye ndege mpaka tukome...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Jamaani Swahiba. Ila hii inapendeza isipolalia upande mmoja yaani kila anayekosea basi ajue kuomba msamaha.
Hahahaaaa. Usije shangaa wakakupinga hapa.Hahaha si ndo wenyew wanasemaga hvi mkuu mim nmewaiga chaaa
Mjifunze bana hasa tunapokoseana mie naona hakuna mtakachopungua cha zaidi mtakuwa mnastawisha penzi. Teh teh.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja tuanze kujifunza swaiba.
Smart911 wangu Ile slogan yako inasemaje vileee!!!?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwanaume wa ukweli hutumia dume condom ................................................................................................................................................................................. ( kwahisani ya watu wa marekani)Mwanaume wa ukweli anajali mambo yake
Umbea mwiko.
ππππMwanaume wa kweli lazma uwe na madeni Saccos zote kubwa mjini.
Matumizi ya condom ni mpango wa makabaila ku depopulate Africans.Mwanaume wa ukweli hutumia dume condom ( kwahisani ya watu wa marekani)
Me niliwah na ndio mana nikataka kujua mlifika mbali kias gani, mwanaume akikupigia sim lazima ushtuke ujiulize leo imekuaje au kuna nn, mkiongea ikafika dakika tano siku hiyo unajiona bahat imekuangukia zamani ilikua anapiga mnaongea then ghafla tu yakabadilika hapo kwenye msamaha hapo ndio shida akikuomba msamaha hana huo muda akisema yaishe kamaliza tena ni amri sio ombi, ilifikia tu hatua nikaona no sitaweza kila mtu akawa na hamsini zake maisha yakaenda.Hapana mwaya sijawahi kumbana na wenye adha hiyo.
Nadhani sababu ni mie nilivyo mwepesi wa kuomba samahani basi naye akajizowesha kuwa mwepesi wa kuomba samahani pia.
Sawa swaibaMjifunze bana hasa tunapokoseana mie naona hakuna mtakachopungua cha zaidi mtakuwa mnastawisha penzi. Teh teh.