Sifa za mwanume wa kweli

Sifa za mwanume wa kweli

Hahahaaa!! Mambo ya waziiiii kila kitu!! Hahahaaa!!

( ...kombania nzima wote ni wajinga....waziiii....". )Waziiiiii
Ahahaha!! Yale maisha yanataka moyo sana.. Afu unakuta RSM mwenyewe la saba B..wakati Mimi nasoma yeye alikuwa anatembeza machungwa kule Muheza..then anakuja ananiita mjinga wewe na degree yangu..! Totally unfair.

Wana masimango sana maregimental sir major...kuna mmoja alikuwa anasema nisimsumbue na degree yangu ya nyuki...Ahahaha!
 
Akili zao washaukabidhi mwenge wa kwenye barret zikaungua, hawana huruma na nanga yeyote,

Usilolipenda wewe wao ndo la maana . Hao ndo wapiganaji mjomba
 
Wakati nimemaliza advance nilienda jkt then nikapata post ya Polisi nikaenda CCP nikaenya kabla sijamaliza kozi ukatokea msala usiku tulitoroka tukaenda disco tukakamatwa na Cpl Benson tukapelekwa MPS tukafukuzwa mafunzo wote, tutarudije home sasa kirahisi na tutasemaje tukarudi kikosini kwetu JKT...ajabu tukapokelewa tukaendelea kuhenya soon zikatoka post za TPDF tukafanya usahili tukatoboa tukahenya Makutupola hadi mwisho tukala kivazi cha tipidanga then after 7 years nikatemana na majeshi kunoga, sasa hivi ni RAIA mwema pekee anaejua kupush kifaru.

But Mimi ndio kuruta wa kwanza Bongo kula kozi mbili za umwela na ujeda.

Them good old days.
 
Wakati nimemaliza advance nilienda jkt then nikapata post ya Polisi nikaenda CCP nikaenya kabla sijamaliza kozi ukatokea msala usiku tulitoroka tukaenda disco tukakamatwa na Cpl Benson tukapelekwa MPS tukafukuzwa mafunzo wote, tutarudije home sasa kirahisi na tutasemaje tukarudi kikosini kwetu JKT...ajabu tukapokelewa tukaendelea kuhenya soon zikatoka post za TPDF tukafanya usahili tukatoboa tukahenya Makutupola hadi mwisho tukala kivazi cha tipidanga then after 7 years nikatemana na majeshi kunoga.

But Mimi ndio kuruta wa kwanza Bongo kula kozi mbili za umwela na ujeda.

Them good old days.
Kipindi hicho Makutupola bado RTS,
Mjombaaa mbona uliubwaga uzalendo?

Kipi kilizingua kamanda?
 
Wakati nimemaliza advance nilienda jkt then nikapata post ya Polisi nikaenda CCP nikaenya kabla sijamaliza kozi ukatokea msala usiku tulitoroka tukaenda disco tukakamatwa na Cpl Benson tukapelekwa MPS tukafukuzwa mafunzo wote, tutarudije home sasa kirahisi na tutasemaje tukarudi kikosini kwetu JKT...ajabu tukapokelewa tukaendelea kuhenya soon zikatoka post za TPDF tukafanya usahili tukatoboa tukahenya Makutupola hadi mwisho tukala kivazi cha tipidanga then after 7 years nikatemana na majeshi kunoga, sasa hivi ni RAIA mwema pekee anaejua kupush kifaru.

But Mimi ndio kuruta wa kwanza Bongo kula kozi mbili za umwela na ujeda.

Them good old days.
Ulikuwa kikosi gani baada ya kumaliza rts makutu?
 
Back
Top Bottom