Teh nimeipenda hiiInapendeza sana...
Ukishazaliwa mwanaume ni mwiko kabisa, kusubiri mpaka upewe, wewe chukua tu...
Usitegemee huruma kutoka kwa watu, wewe fanya tu...
Usipende kusifiwa, wewe tenda tu...
Usingoje kuletewa, kifuate/vifuate...
Cc: mahondaw

Mwanaume wa kweli lazma uwe na madeni Saccos zote kubwa mjini.
Hahaha hiyo ipo kwenye muvi tu swaiba, hivi swaiba umesahau baba ndo kichwa ya nyumba? Hata mzazi amkosee vipi mtoto, kumwomba msamaha ni kumbembeleza na kumpa viofa vya apa na pale mpaka anasahauEwaaaaaaaaa.
Na hayo ndio mapenzi ya kweli shoga sio kila siku sisi tu.

Hahaha hiyo ipo kwenye muvi tu swaiba, hivi swaiba umesahau baba ndo kichwa ya nyumba? Hata mzazi amkosee vipi mtoto, kumwomba msamaha ni kumbembeleza na kumpa viofa vya apa na pale mpaka anasahau![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahah hii umem vice mtoa mada kidizaini flaniMwanaume wa ukweli anajali mambo yake
Umbea mwiko.
Dahna Mwanaume wa kweli lazima uwe na bills kaunta za juu zote hapa mjini
Aisee kumbe kuishi kwa wazazi ni hatari sana?ha ha ndo hvo Mtu anajiita mwanaume alafu anaishi kwa wazazi hii inachekesha
Not in Tanzania.Hahahaha
Mwanaume wa kweli lazima asimame kama mwanaume kwenye mahusiano yake, kujishusha na kusema samahani sio kosa inaruhusiwa
Hapa kwenye huduma nilijua tu hapataachwa salamaMwanaume wa kweli ni lazima amjali na kumhudumia mwenza wake kwa kila hali na sio kulia lia kila kukicha. Teh teh
Hahahaaa. Ndiooo.Hapa kwenye huduma nilijua tu hapataachwa salama
Kwa kweli, mi mwanamke akiwa real na mimi siwezi acha kumhudumia kabisa.Hahahaaa. Ndiooo.
Mtuhudumie tu inapobidi jamaani.