Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Ni story ndefu sana maiki, ngoja nikaushe nisije wafaidisha Raia.Kipindi hicho Makutupola bado RTS,
Mjombaaa mbona uliubwaga uzalendo?
Kipi kilizingua kamanda?
But mimi huwa najitizmaa kama reserve soldier kukiwa na magumu yanaikabili nchi ya mama Tanzania... Niko timamu kusonga mbele kuitetea bongo. Naipenda sana bongo.
Let's rest this case maiki!

