Sifa za mwanume wa kweli

Sifa za mwanume wa kweli

Na hapo ndipo wanapokosea. Ila twendw nao taratibu huenda wakaja kulitambua hilo kwamba kwenye mahusiano kuna kuombana misamaha na pia kuna kujishusha hasa pale mmoja akoseapo.
Yani kwenye hili La kuomba msamaha mhh
 
Siwafundishi tabia mbaya rafiki. Huo ndio ukweli mahusiano mazuri ni yale ya kujaliana hasa mwanaume amjali mwanamke katika mahitaji yake mbalimbali.

Sasa rafiki unataka mahusiano yasiyo na mbolea kusaidiana ndio mbolea yenyewe hiyo rafiki.
Aisee basi tusiokua na mbolea tutafanya mambo ya yule jamaa aliofanya kwenye ndege mpaka tukome...
 
Samahani, swali la nje ya mada,umewahi kua na mtu wa aina hiyo??? Uliweza kwenda naye taratibu na kwa umbali gani hasa? Nawaza hapa mtu anakukosea haombi msamaha anajisahaulisha unaenda naye tu moyoni unajisikiaje?? Halaf bora ashtuke amefanya mistake habari hapati unafanyaje???
Wanaboa mnoo yani inafika wakati unazoea Tabia yake unaliacha tu moyo utavuja damu utaacha,,baadae likikosea hata hulisemeshi,,atajishtukia tu
 
Hapo kwenye namba 5 naona unamsema mkuu wa mkoa wa Tanzania... tehteehhh
 
Mwanaume wa ukweli, lazima awe anampea kipondo mke wake hadi anaamuru alazwe muhimbili kama mzalendo, na sio kupelekwa India.... tehteehhh
 
Samahani, swali la nje ya mada,umewahi kua na mtu wa aina hiyo??? Uliweza kwenda naye taratibu na kwa umbali gani hasa? Nawaza hapa mtu anakukosea haombi msamaha anajisahaulisha unaenda naye tu moyoni unajisikiaje?? Halaf bora ashtuke amefanya mistake habari hapati unafanyaje???
Hapana mwaya sijawahi kumbana na wenye adha hiyo.
 
Mwanaume wa ukweli anajali mambo yake
Umbea mwiko.
Mwanaume wa ukweli hutumia dume condom ................................................................................................................................................................................. ( kwahisani ya watu wa marekani)
 
Hapana mwaya sijawahi kumbana na wenye adha hiyo.

Nadhani sababu ni mie nilivyo mwepesi wa kuomba samahani basi naye akajizowesha kuwa mwepesi wa kuomba samahani pia.
Me niliwah na ndio mana nikataka kujua mlifika mbali kias gani, mwanaume akikupigia sim lazima ushtuke ujiulize leo imekuaje au kuna nn, mkiongea ikafika dakika tano siku hiyo unajiona bahat imekuangukia zamani ilikua anapiga mnaongea then ghafla tu yakabadilika hapo kwenye msamaha hapo ndio shida akikuomba msamaha hana huo muda akisema yaishe kamaliza tena ni amri sio ombi, ilifikia tu hatua nikaona no sitaweza kila mtu akawa na hamsini zake maisha yakaenda.
 
Back
Top Bottom