Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Hahaaa. Hapo sawa Mkuu.Kwa kweli, mi mwanamke akiwa real na mimi siwezi acha kumhudumia kabisa.
Hahaaa. Hapo sawa Mkuu.Kwa kweli, mi mwanamke akiwa real na mimi siwezi acha kumhudumia kabisa.
NimefikaWanakuja
MmmhhhMwanaume wa kweli ni lazima amjali na kumhudumia mwenza wake kwa kila hali na sio kulia lia kila kukicha. Teh teh
Inabidi ifikie hatua kila mmoja ajue akikosea anapaswa kuomba samahani.Unajikuta unaomba wewe japo kosa sio lako vinachosha
cc Le mbebeziii superbrandMwanaume wa kweli must awe na kibamia
Wachache hutambua hayo, wengi hujiona vidume hawapaswi kua chini hata wakikoseaInabidi ifikie hatua kila mmoja ajue akikosea anapaswa kuomba samahani.
Hahahaha jaman why mnakua hivoNot in Tanzania.
AiseeMwanaume wa kweli ni lazima amjali na kumhudumia mwenza wake kwa kila hali na sio kulia lia kila kukicha. Teh teh
Kulalamikia nini sasa?Mwanaume wa kweli halalamiki ovyo ovyo.
Mwanaume wa kweli hasusi
Mwanaume wa kweli hanuni
Mwanaume wa kweli sio mbinafsi
Mwanaume wa kweli ni yule mwenye kumuheshimu kumthamini na kumjali mwanamke wake
Ova


hasusi, hanuniAiseeeMwanaume wa kweli hutumia dume![]()
Na hapo ndipo wanapokosea. Ila twendw nao taratibu huenda wakaja kulitambua hilo kwamba kwenye mahusiano kuna kuombana misamaha na pia kuna kujishusha hasa pale mmoja akoseapo.Wachache hutambua hayo, wengi hujiona vidume hawapaswi kua chini hata wakikosea
Hahaaa. Ndio hivyooo.Aisee

Unawafundisha tabia mbaya aisee!!Hahaaa. Ndio hivyooo.
Samahani, swali la nje ya mada,umewahi kua na mtu wa aina hiyo??? Uliweza kwenda naye taratibu na kwa umbali gani hasa? Nawaza hapa mtu anakukosea haombi msamaha anajisahaulisha unaenda naye tu moyoni unajisikiaje?? Halaf bora ashtuke amefanya mistake habari hapati unafanyaje???Na hapo ndipo wanapokosea. Ila twendw nao taratibu huenda wakaja kulitambua hilo kwamba kwenye mahusiano kuna kuombana misamaha na pia kuna kujishusha hasa pale mmoja akoseapo.
Siwafundishi tabia mbaya rafiki. Huo ndio ukweli mahusiano mazuri ni yale ya kujaliana hasa mwanaume amjali mwanamke katika mahitaji yake mbalimbali.Unawafundisha tabia mbaya aisee!!


Hahahaha mkuu umeuaamwanaume wa kweli haombi samahani....
mwanaume wa kweli anajisahaulisha sio unaniagiza nyama sokoni nakuletea