Yeah, unakuja kuona ni kilema chake i mean mapungufu yake ndio hayo sema uvumilivu una kikomoWanaboa mnoo yani inafika wakati unazoea Tabia yake unaliacha tu moyo utavuja damu utaacha,,baadae likikosea hata hulisemeshi,,atajishtukia tu
Pole sanaMe niliwah na ndio mana nikataka kujua mlifika mbali kias gani, mwanaume akikupigia sim lazima ushtuke ujiulize leo imekuaje au kuna nn, mkiongea ikafika dakika tano siku hiyo unajiona bahat imekuangukia zamani ilikua anapiga mnaongea then ghafla tu yakabadilika hapo kwenye msamaha hapo ndio shida akikuomba msamaha hana huo muda akisema yaishe kamaliza tena ni amri sio ombi, ilifikia tu hatua nikaona no sitaweza kila mtu akawa na hamsini zake maisha yakaenda.
Habari zenu wana jf leo ningependa watu ajue sifa za mwanaume halisi coz kuna mtu anajiita mwanaume ila hana sifa za kiume. Zifuatazo ni sifa za mwanaume wa kweli.
ongeza na za kwako hapo sifa za mwanaume wa kweli. ukiwa na sifa karibu zote hapo wewe ndo unaitwa mwanaume je wewe unayejiita mwanaume unazo hizo sifa??.
- Mwanaume wa kweli anakua na msismo yaani hayumbishwi
- Mwanaume wa kweli haongei sana yaani akiongea mara moja harudii na anaeleweka
- Mwanaume wa kweli lazima uwe unaishi kwako unategemewa na sio kwa wazazi kama Bado unaishi kwa wazazi usijiite mwanaume wewe unaitwa Mvulana.
- Mwanaume wa kweli lazima uwe na Maamuzi magumu.
- Mwanaume wa kweli lazima uwe ushampeleka mwanamke leba yaani uwe ushamtia mwanamke mimba uitwe baba.
- Mwanaume wa kweli ni mpambanaji' na hakati tamaa na hanung'uniki nung'uniki ovyo
- Mwanaume wa kweli hanuni
- Mwanaume wa kweli ni Jasiri,
Umuombe msamaha si ndio mwanzo wa mke kukuona kilaza. Hamjaumbwa kuwa treated fairly otherwise ni kirambasi.Hahahaha jaman why mnakua hivo
Mwanaume wa kweli lazima awe na mwanamke zaidi ya mmoja![]()
![]()

Nimeshapoa, asantePole sana
Hahha sasa tunatofautiana, kwanza ujue uko na mwanamke wa aina gani, kuna baadhi ya sisi ke tuko loyal na honest sana kwenu, hatusthili hayo mambo, mfanyie mtu unayeona huna mipango naye, mimi kwa upande wangu nilikua nikiona nimefanya any mistake najirud tena bas et na yeye kutaka ile sifa naweza kumuomba msamaha kuanzia usiku wa kuanzia leo hsd kesho jioni na bado asikujibu amekusamehe sometimes najiuliza kwa kosa gani bas na hapo ukute yeye ndio chanzo cha hilo kosaUmuombe msamaha si ndio mwanzo wa mke kukuona kilaza. Hamjaumbwa kuwa treated fairly otherwise ni kirambasi.
Mie ex wangu flani nilimtreat fairly na kumpa nafasi sana sikuwa selfish. Mwishowe nikaanza kushangaa naambiwa we huwezi kujisimamia kila nachotaka mimi ndio tu. Ila hapo nikiamua vitu kivyangu anakuwa mtu wa criticizing kinoma noma. Malalamishi kibao.
Shwain nani kakwambia hayo maneno![]()
![]()
![]()
Aisee, nyie si mna kamsemo kenu ka "raha ya mume muwe wawili"
Sasa sisi tufanyeje sasa![]()
![]()
Aisee hivi "Shwain" ndo umemaanisha nini vile?Shwain nani kakwambia hayo maneno
Rudi tena kwe hyo kamusi mkuu utaelewaAisee hivi "Shwain" ndo umemaanisha nini vile?
Huo usemi niliusoma kwenye kamusi ya maneno ya uswahilini.
Mwanaume wa kweli lazima hahongi.
Kamusi yangu ina maneno ya kindengereko tu, hilo halipo.Rudi tena kwe hyo kamusi mkuu utaelewa
HahahahKamusi yangu ina maneno ya kindengereko tu, hilo halipo.