Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

are you serious? Jeshi kubwa? U can't be serious! Mbali na uchache wa wanaume kupitia sensa lakini kwa idadi ile iliyotolewa nusu yake ndo wanaume wengine wanapumuliwa na wanaume
Hakyanani?
 
habari ndo hiyo,jifunze kwa yanayokuhusu...kushughulika na yasiyokuongezea kula kwa MTU anayejiita mwanaume ni aibu
Tungekuwa tunaongea kwa hoja tungeendelea

ila naona tayari ushatoka nje ya mstari, ushaanza kuwa mwanamke
 
Tungekuwa tunaongea kwa hoja tungeendelea

ila naona tayari ushatoka nje ya mstari, ushaanza kuwa mwanamke
Hoja gani mkuu,kuumizwa na yasiyokuhusu...si ukuda huo.😂😂😂😂🙊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom