IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,182
Sipo huko nipo hapahapa bongo ndio najaribu kuobserve haya maisha ya uku ni matusi tu uswahili mwingii!😂😂 Ulale sasa au huko kwenu mchana?
Sipo huko nipo hapahapa bongo ndio najaribu kuobserve haya maisha ya uku ni matusi tu uswahili mwingii!😂😂 Ulale sasa au huko kwenu mchana?
Hongera ila huyo jamaa sijua kama anapumua vizuri akiwa na wewe😂😂😂Wee mimi nshampata mwanaume wangu tunaenda sawa , wa aina yako siwezi mimi.
😍 dada yake mie nimeshangaa sikukuu zote sijakuona humu hata ukicomment, haya bia pilau na minyama ulitunyima hata salamu ya kinafiki ya kututakia heri ya krismasi na mwaka mpya 🤔😅🤣😍😍 Kaka wa mimi, umemisika pia. Umekula sikukuu peke yako jamani sio vizuri
Wanaume wa JF wanayoyaongea humu na maisha yao halisi ni mbingu na ardhi.





afu kweli kabisaaa.

anyway japo kuwa nyingine ni kweli ila kuna nyingine hapo zipo ili kulinda maslahi yenu wanawake. Na ndio nyingi ....tusihadisiane wanawake tulio wagonga ili kumsitiri tuyeye tusijue tumegonga wangapi 

Wanaume Wapi, ni wanawake nyie, nyie, tena mmekuwa wahuni sana, shetani anawatumia sana nyie.😳maajabu! Utajikuta!?au tayari mnapigwa dole la kati na wanaume.Ita majina yote lakini umekumbushwa kuwa mwanaume👊
Upinde weweMbona karibia hizo sifa zote sasa zinanihusu mimi!!
Just jocking mm siezi telekeza mwanangu tena mdada nikimpa mimba lazima nimjengee ili mwanangu asitesekeBe a man
Mkuu mm ni 40+ sio mtoto nishazeeka
We ni me au keSifa za mwanaume ajue kutembeza mkong'oto wa kutosha kunako 6×6 na kuwajibika kiuanamume ndani ya familia km kusomesha watoto, kufanya familia inapishana chooni, kumpendezesha mkewe, kufanya familia yake iishi maishi bora na yenye furaha, n.k hizo zingine mbwembwe tu,