Sifa za mwanamke wa kuoa

Sifa za mwanamke wa kuoa

Labda point ya kwanza tu lakini hizo zilizobaki zinafanywa na mwanamke mhuni ndiye anayeweza kuwa na ujasiri wa kuyafanya hayo kabla ya kuolewa.

Binti aliyeleleta ktk misingi ya maadili mema hathubutu kuyafanya hayo.
Jamaa anashindwa kutofautisha kati ya single mother na demu fresh
 
Ni single mother tuu anaweza kufanya hayo yote, ukiwa na demu fresh anakufanyia hayo yote situka na ukimuoa hivohivo usishangae akabeba mimba fake
 
Kupata wife material siyo mtihani ikiwa wewe pia ni husband material, huwezi pata wife material ikiwa si husband material?
ha ha ha wenye hizo sifa hapo juu ndio wife material
 
Kosea vitu vingine lakini usikosee kuoa ama kuolewa...

Kuna wananaume wameoa wanawake waliopaswa kuolewa na majambazi...

Kuna wanawake wameolewa na wanaume waliopaswa kuoa askari...
Ha ha ha ha unakuta kila siku ni kutafuta upatanisho tu
 
Back
Top Bottom