Sifa za mwanamke wa kuoa

Sifa za mwanamke wa kuoa

Vitu hivi akivifanya mpenzi wako wa kike jua ni wife material:-
  • Anapokuja kukutembelea anakuwa amevaa nguo za heshima
  • Akija kwako anaweza kukuletea vitu vya kupika,vya kutafuna tafuna n.k
  • Akija kwako atafanya kazi mbalimbali mfano kufua,kupiga deki,kuosha vyombo,kukupikia n.k
  • Akipika chakula anakuandalia mezani na anakukaribisha ule.
  • Kama atalala kwako,ataamka asubuhi na mapema na atafanya usafi,atapika chai,atakuandalia maji ya kuoga n.k
  • Mkiwa katika maongezi kwa asilimia kubwa atakuwa anaongea mambo ya msingi kuhusu maisha yenu ya baadaye mfano watoto,maendeleo,biashara n.k
  • Pia anakuwa ni mtu asiyependa kutumia fedha zako hovyo atajitahidi kubana matumizi.
  • Kila unapomhitaji anaitikia wito wako
  • Anaonyesha unyenyekevu anapokuwa na wewe
Haya,mnaotafuta wake kazi kwenu...
Kama hujanioa sahau mm kulala kwako mbaka asubuhi eti nadeki nafua napika sasa si ndi tutaanza na kuzaa bila ndoa. Yaan kwanamme ambae hajakuoa usimfanyie mambo kama mme wa ndoa.
 
Kama hujanioa sahau mm kulala kwako mbaka asubuhi eti nadeki nafua napika sasa si ndi tutaanza na kuzaa bila ndoa. Yaan kwanamme ambae hajakuoa usimfanyie mambo kama mme wa ndoa.
ha ha ha wanaoolewa siku hizi ni wachache mkuu;usipokubali kuingia kwenye mchakato wa ushindani,jiandae kuwa single M.
 
ha ha ha kupata 'wife material' ni mtihani mgumu sana
Siyo kazi kubwa kama unavyofikiria mkuu, kila mwanamke ana sifa ya kuwa wife ni wewe tu na quality zako unayemuona hafai kwako kwa mwingine nafaa sana tu
 
Siyo kazi kubwa kama unavyofikiria mkuu, kila mwanamke ana sifa ya kuwa wife ni wewe tu na quality zako unayemuona hafai kwako kwa mwingine nafaa sana tu
Migogoro ya kwenye ndoa inasababishwa na kukosea kuoa mwanamke mwenye sifa tajwa.
 
Umepewa na nani hizo akili?
Ni swali gumu sana mkuu,ni sawa na kujiuliza, ni kitu gani kinafanya ndege ipae angani wakati imebeba vifaa vizito kama vifaru n.k
 
Back
Top Bottom