Sifa za mwanamke wa kimachame

Status
Not open for further replies.
Kakangu aliponea chupu chupu na sasa hivi alishahama hata mkoa na kukimbia kila kitu.
Jaribuni muone hasa ukishakuwa na hela uanze kuhesabu siku. Kama huani muulize na yule jamaa wa arusha.

Uwiii jamani mtanivunja mbavu zangu ...khaa! Nimechekajee
 
Akiolewa na mwanaume mwenye fedha, lazima atamuua... Sasa wewe chagua kama hii mbaya au nzuri, maana wengine duniani huwa wanapenda kuwawa...
NI WAzuri kinoooma hata akioana na asiye na pesa lakini baadae akaja tajirika..lazima mume auwawe...pia jiandae bi mkubwa wako kua hafiki kwako na kama akifika basi matunzo yatakua changa..inshort wanapenda kutawala mzeiyyerr so jiandae...kwa hayo..your success in life means your a few steps from your grave..!!!! overrrr...!!!!
 
Wachangiji wengi wa hu uzi wameonesha upande hasi kwa Wamachame (hasa kwa wasio wachagga/wamachame) naomba niwaulize swali lakizushi, hivi hakuna wamama wa kimachame ambao age imesogea say 60 yrs hivi na bado wapo na waume zao na wanakauwezo kidogo?
 
kama umekosa la kushauriwa si uache tu kupost thread usokua na uhakika nazo?ukweli nina miaka 25 mzaliwa na nimekulia machame kwene suala la kuua,ubinafsi na uchoyo hilo halipo machame tu bali ni tabia ama hulka ya mtu.
then nalofahamu ni wachapaji kazi na hawapendi vijiwanaume suruali a.k.a visharo.piga kazi..shugulika mtaendana
 
Wachangiji wengi wa hu uzi wameonesha upande hasi kwa Wamachame (hasa kwa wasio wachagga/wamachame) naomba niwaulize swali lakizushi, hivi hakuna wamama wa kimachame ambao age imesogea say 60 yrs hivi na bado wapo na waume zao na wanakauwezo kidogo?

Wapo my parent 27 years of marriage not bad economically na nnawaona their love is new every day
 

bado hajakufika
 

sawaa! ni hulka ya mtu lakini wao wamezid
 
Wapo my parent 27 years of marriage not bad economically na nnawaona their love is new every day

my dad is 75 yrs old and this sept he will be celebrating his 38 yrs of marriage na wana watoto 7 wote wanajitegemea, maisha yao ni mazuri sana na wanapendana kama ndo wameoana leo. so huwa sijisumbui kabisa na hoja kaa hizi manake wote hawana proof na ushambenga wao.
 
Ni kweli hayo yote kama wauaji hayana ushahidi lkn NINA USHAHIDI kuwa kitandani HUWA WANA PACK GARI;wala hatingishiki baba ukiwa unakamua!

Nilikuwa nao 4 chuo kwa miaka tofauti wote wapo hivyo hivyo!
:smile-big: Tehe tehe nimechekaje malafyale.Dada zangu kupaki container ndo mpango mzima sisi tulishawajua na kuwazoea.Huenda wanalimbikiza nguvu za kwenda kwenye mihangaiko ya pesa ila cku izi naona taaatiiibu wanaanza kumuvu.

cc.Mamndenyi
 
Thanks, nilitaka kujua hilo tu, wanasemaga watu, "No Research No right to speak"!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…